ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ulitaka tukulevye wewe dume bwege?Inaonekana ni shabiki mkubwa wa siasa pumbavu wewe. Mnamlevya sifa huyo mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka tukulevye wewe dume bwege?Inaonekana ni shabiki mkubwa wa siasa pumbavu wewe. Mnamlevya sifa huyo mwanamke.
Sijui wanasiasa wanatuonaje aisee.View attachment 2569741
Siku hizi kila sehemu mjini ni picha za kusifiaaa
nani kama mama, anaupiga mwingi
nchi ya uozo hii
Dume bwege ni babaako mkuu.Ulitaka tukulevye wewe dume bwege?
Dume bwege ni wewe hapo mwenye wivu kama mkeo,eti unalalamika Kwa nini hujasifiwa 🤣🤣🤣 fala weweDume bwege ni babaako mkuu.
Sijui wanasiasa wanatuonaje aisee.
Matatizo ya akili yanatibika, Wahi tiba upesi.Dume bwege ni wewe hapo mwenye wivu kama mkeo,eti unalalamika Kwa nini hujasifiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala wewe
Viongozi wanapenda sifa na siyo kuwajibika.Watanzania hatutakaa tuendelee, since katika masuala mazito ya taifa sisi tunaingiza humu u-vyama na ushabiki, mara utaambiwa chuki zenu mara kile ni ujinga ujinga tu mwingi yaani
Hizo barabara za vijijini zilizo jengwa kwa tozo ziko vijiji gani? Na hizo hospital za tozo, viko wapi na zinafanya kazi? Vifaa na rasilimali watu vipo huko?
Nchi zetu zimekosa dira, nchi za kiafrika zimekosa mpango mkakati wa kujikwamua kiuchumi zenyewe, nchi za kiafrika zinaongozwa na watu wasiojua maana na lengo why they are leaders
Wewe ndio mgonjwa unaemuonea wivu Rais kisa mwanamke anasifiwa 🤪🤪Matatizo ya akili yanatibika, Wahi tiba upesi.
Aliyekwambia chini ya 30000 hakuna TOZO nani? Hiyo ofa ya mtandao mmoja wa simu unafikiri kote?Umieni tuu kwani tozo inaenda kutumika Marekani? Kwanza chini ya 30,000 ambako Kuna watu maskini hakuna tozo..
Mnahangaika na chuki binafsi ambazo Wala hazitawasaidia kubadili lolote..
Kazi ya tozo umeniona hapo kwenye jedwali? Na badi Kuna tozo ya mafuta imefanya wonders kwenye Barabara Vijijini..
WAKATI WA MAGUFULI WANAWAKE WAJAWAZITO WALIJIFUNGUA BURE...TENA VIZURI TU BILA RUSHWA WALA MANYANYASO...Wewe uko Nchi gani? Matajiri ndio wananufaika na mambo haya? 👇View attachment 2569566
Hapa unaongea Kwa msukumo wa wivu na chuki tuu zisizo na maana.
Labda nikuulize Mwendazake alifanya kipi Cha kusaidia watu Maskini/Wanyonge unisadie Kwa Hilo ili twende vizuri.
HAYO MANENO TU HATA WEWE UNAWEZA SEMA UMEFANYA...ILA TUKICHUNGUZA KUMBE YALIKUWEPO TU...YAMEPAKWA RANGI YAPIGWE PICHA..Wewe ni mpumbavu,nyingi ngapi kwani idadi haipo? Alivyojenga huyo JPM wako ilianza kutoa Huduma? Mtu ambae madarasa yalimshinda angeweza kutoa Ajira?View attachment 2569692View attachment 2569693View attachment 2569694View attachment 2569695View attachment 2569696View attachment 2569697View attachment 2569698
Maandishi tu kuandika andika namba si kila mtu anaandika...Hizo zahanati 1066 zipo wapi? Maana mimi tu kijijini kwetu zahanati ni za private tu. Au ukarabati wa zilizochakaa unahesabika kama ujenzi?
hapo mwisho ungeandika kiswahili unachokifahamu vizuri ingekua bora zaidi.WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...
Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!"
Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA KUCHANGIA MWENGE WA UHURU...
ILI MRADI TU NA YEYE MAMA AZUNGUMZIWE NA ATUKUZWE KWENYE MICHEZO...AKAJIFANYA KILA GOLI MARA MIL 5 na MIL 10.
We dont talk of football...we talk about a mere mil 5 na 10 eti za mama...
Toa bajeti ya pesa kugharamia project ya soka nchi kuzalisha vipaji nchi nzima...we will mention you...sio unataka umaarufu na umashuhuri mwepesi kisiasa...eti just mil 10 tu vijana watashinda mechi.
I HATE POLITICS... POLITICS DESTROY EVERYTHING WHEN ENTER.
Mama kasema hataki machawa toa upopoma wako hapaWewe uko Nchi gani? Matajiri ndio wananufaika na mambo haya? [emoji116]View attachment 2569566
Hapa unaongea Kwa msukumo wa wivu na chuki tuu zisizo na maana.
Labda nikuulize Mwendazake alifanya kipi Cha kusaidia watu Maskini/Wanyonge unisadie Kwa Hilo ili twende vizuri.
I hate politicsWanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...
Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!"
Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA KUCHANGIA MWENGE WA UHURU...
ILI MRADI TU NA YEYE MAMA AZUNGUMZIWE NA ATUKUZWE KWENYE MICHEZO...AKAJIFANYA KILA GOLI MARA MIL 5 na MIL 10.
We dont talk of football...we talk about a mere mil 5 na 10 eti za mama...
Toa bajeti ya pesa kugharamia project ya soka nchi kuzalisha vipaji nchi nzima...we will mention you...sio unataka umaarufu na umashuhuri mwepesi kisiasa...eti just mil 10 tu vijana watashinda mechi.
I HATE POLITICS... POLITICS DESTROY EVERYTHING WHEN ENTER.
Unaumia nini Sasa bwashee? Aharishe mwingine wewe ukimbikie chooni kuchamba 😁😁Mama kasema hataki machawa toa upopoma wako hapa