Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

Bongo njaa tu ..hizo hospitali zisizokuwa na wafanyakazi ndo ulete hapa.

Hakuna cha maana kipya kilichofanyika.
Ndio zimejengwa Sasa,kwani huko Kwa Mwendazake zilijengwa zikawa na wafakazi? Si Bora na Samia kaajiri?

Ndio maana nakwambia mna chuki zisizo na msingi na ambazo in any way haziwezi kukusaidia zaidi ya kula hasara.
 
Ndio zimejengwa Sasa,kwani huko Kwa Mwendazake zilijengwa zikawa na wafakazi? Si Bora na Samia kaajiri?

Ndio maana nakwambia mna chuki zisizo na msingi na ambazo in any way haziwezi kukusaidia zaidi ya kula h
Kwanza hospitali nyingi zimejengwa kipindi cha JPM ..nilishangaa kuona hospitali ya karagwe iliyojengwa kipindi cha JPM machawa wanasema mama kajenga ..poor machawa.
 
Kwanza hospitali nyingi zimejengwa kipindi cha JPM ..nilishangaa kuona hospitali ya karagwe iliyojengwa kipindi cha JPM machawa wanasema mama kajenga ..poor machawa.
Wewe ni mpumbavu,nyingi ngapi kwani idadi haipo? Alivyojenga huyo JPM wako ilianza kutoa Huduma? Mtu ambae madarasa yalimshinda angeweza kutoa Ajira?
20230320_154757.jpg
20230320_151858.jpg
20230320_151918.jpg
20230320_152040.jpg
20230320_151926.jpg
20230320_152054.jpg
20230320_154751.jpg
 
Wewe ni mpumbavu,nyingi ngapi kwani idadi haipo? Alivyojenga huyo JPM wako ilianza kutoa Huduma? Mtu ambae madarasa yalimshinda angeweza kutoa Ajir
Wewe ni mpumbavu,nyingi ngapi kwani idadi haipo? Alivyojenga huyo JPM wako ilianza kutoa Huduma? Mtu ambae madarasa yalimshinda angeweza kutoa Ajira?View attachment 2569692View attachment 2569693View attachment 2569694View attachment 2569695View attachment 2569696View attachment 2569697View attachment 2569698

Hospitali nyingi kazikuta kwenye ujenzi kwahyo hakuna cha kujisifu hapo..kwanza hamueleweki mara mnatumia hela za uviko mara hela za tozo.

Mbona waliopita hawakuwahi tumia hizo tozo na mambo yalienda

Poor machawa
 
Kama hawakuwahi tumia tozo walikuwa wajinga ndio hao wametuchelewesha Hadi Leo hii baadhi ya Wilaya hazina hospital.

Hao hao ndio walisababisha Nchi haifikiki na kilimo kudumaa..

Awamu ya 6 haiwezi kutumia mawazo za failures, Watoto wanakaa chini,hakuna madarasa na Vyanzo vya pesa vipo,huo ujinga fanyeni nyie..

Awamu ya 6 inaenda kufuta shida ya Maji by 2025 ,ukiacha utitiri wa miradi imegawa mitambo ya kuchimbia visima virefu Mikoa yote na wewe unajua just within 2 years..

Chuki zinazoendelea ni sababu ya legacy kufunikwa 😁😁😁😁
 
Kwa hiyo Samia kutoa hamasa imekuwa nongwa? Acheni gubu basi.
 
Nyuzi zingefunguliwa kwamba "Mama anakismati ,Simba na Yanga zimefuzu makundi Pamoja na Taifa stars kufunga Afcon yote hii kwa sababu ya Mama ,nani kama Mama ? #AnaupigaMwingi
 
Wewe uko Nchi gani? Matajiri ndio wananufaika na mambo haya? [emoji116]View attachment 2569566

Hapa unaongea Kwa msukumo wa wivu na chuki tuu zisizo na maana.

Labda nikuulize Mwendazake alifanya kipi Cha kusaidia watu Maskini/Wanyonge unisadie Kwa Hilo ili twende vizuri.
Hizo zahanati 1066 zipo wapi? Maana mimi tu kijijini kwetu zahanati ni za private tu. Au ukarabati wa zilizochakaa unahesabika kama ujenzi?
 
Hizo zahanati 1066 zipo wapi? Maana mimi tu kijijini kwetu zahanati ni za private tu. Au ukarabati wa zilizochakaa unahesabika kama ujenzi?
Private inafanya nini Kijijini?
Wewe hata takwimu huna,Tanzania Ina Vijijini zaidi ya 12,000 so zahanati 1,000 ni namba ndogo ila walau Samia amejitahidi.

Kama kwenu hamna zipo kwenye baadhi ya Vijiji maeneo mengine.
 
Back
Top Bottom