Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

Watanzania hatutakaa tuendelee, since katika masuala mazito ya taifa sisi tunaingiza humu u-vyama na ushabiki, mara utaambiwa chuki zenu mara kile ni ujinga ujinga tu mwingi yaani

Hizo barabara za vijijini zilizo jengwa kwa tozo ziko vijiji gani? Na hizo hospital za tozo, viko wapi na zinafanya kazi? Vifaa na rasilimali watu vipo huko?

Nchi zetu zimekosa dira, nchi za kiafrika zimekosa mpango mkakati wa kujikwamua kiuchumi zenyewe, nchi za kiafrika zinaongozwa na watu wasiojua maana na lengo why they are leaders
 
Viongozi wanapenda sifa na siyo kuwajibika.
 
Leo eti kaunda tume imtathmini yeye mwenyewe kuhusu teuzi zake za kubahatisha kule wizara ya mambo ya nje.
 
Aliyekwambia chini ya 30000 hakuna TOZO nani? Hiyo ofa ya mtandao mmoja wa simu unafikiri kote?
 
WAKATI WA MAGUFULI WANAWAKE WAJAWAZITO WALIJIFUNGUA BURE...TENA VIZURI TU BILA RUSHWA WALA MANYANYASO...

WEWE UNALETA BLAA BLAA ZA MAKARATASI WAKATI UHALISIA HAKUNA KINACHOONEKANA..
 
HAYO MANENO TU HATA WEWE UNAWEZA SEMA UMEFANYA...ILA TUKICHUNGUZA KUMBE YALIKUWEPO TU...YAMEPAKWA RANGI YAPIGWE PICHA..

SIASA SIASA SIASA UONGO UONGO UONGO...MNADANGANYIKA NA MANENO MANENO KWENYE MAKARATASI...
 
Hizo zahanati 1066 zipo wapi? Maana mimi tu kijijini kwetu zahanati ni za private tu. Au ukarabati wa zilizochakaa unahesabika kama ujenzi?
Maandishi tu kuandika andika namba si kila mtu anaandika...

Mwanasiasa akikwambia mvua inanyesha nje huko toka nje ukaangalie huenda ni mnoa visu anoa visu vyake...
 
hapo mwisho ungeandika kiswahili unachokifahamu vizuri ingekua bora zaidi.
 
Mama kasema hataki machawa toa upopoma wako hapa
 
I hate politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…