Yale mavitu ya AFCON Morocco, nikiiangalia Tanzania inatia huruma

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.

Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek picha za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja.

Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi.

Njoo hapa kwetu sasa, utadhani nchi ilikuwa kwenye vita kwa miaka 50. Nimepita hapa Temeke ulipo uwanja mkuu wa nchi- masikini daaah. Kabla hujafika Temeke kwenye soka unapokelewa hapo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, unajiuliza hii ndio nchi yenye uhuru kwa zaidi ya miaka 60? Ndio nchi tunayoambia mabeberu watatuibia rasilimali?

Njoo sasa Magufuli bus terminal, tujumba kama mahandaki ya vita au wametoka kuchakwazwa na Israel ndio wameanza kujipanga.

Ukiwasikiliza sasa viongozi wetu wakiwa wanasoma karatasi ya maendeleo yetu. Unaweza kusema Morroco waje kujifunza hapa. Kasikilize nwanwa na tantalila za David Kafulila au Kitila Mkumbo-ujanja ujanja tu na takwimu za kubumba.

Naamini timu zote zikija hapa zitakiri zenyewe, kama hawa jamaa hawakujinda walituleta kutafuta nini huku?!

Ushauri
Serikali itenge fungu la bajeti za kuficha taswira ya nchi. Media zipewe fungu zisirushe picha za nje ya uwanja, humo Magomeni, Ubungo, Kinondoni wasifike
 
Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.

Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek bila za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja.

Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi.

Njoo hapa kwetu sasa, utadhani nchi ilikuwa kwenye vita kwa miaka 50. Nimepita hapa Temeke ulipo uwanja mkuu wa nchi- masikini daaah. Kabla hujafika Temeke kwenye soka unapokelewa hapo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, unajiuliza hii ndio nchi yenye uhuru kwa zaidi ya miaka 60? Ndio nchi tunayoambia mabeberu watatuibia rasilimali?

Njoo sasa Magufuli bus terminal, tujumba kama mahandaki ya vita au wametoka kuchakwazwa na Israel ndio wameanza kujipanga.

Ukiwasikiliza sasa viongozi wetu wakiwa wanasoma karatasi ya maendeleo yetu. Unaweza kusema Morroco waje kujifunza hapa.
Kuna gemu ya Simba
Kuna drone moja tukicheza na waarabu...

Sikumbuki jinaaa la Timu iyo ya waarabu,
ila wale waarabu wali rusha drone ikachukua picha maeneo ya ulipo UWANJA WA TAIFA.. NA MAENEO YA KEKO YAKA ONYESHWA YAKIWA NI SLUM NA MABATI YENYE KUTU.
 
Hii michuano wangeendelea kupewa wa-host walioko tayari tu!

Kama itakuwa January, kucheza kwenye "majaruba" na mazizi ni uhakika na fedheha za kuzima umeme katikati ya mechi.
 
Vijana wangu, mwanzo mgumu. Ingawa ni kweli miaka ya uhuru haiendani na maendeleo halisi. Na hii yote ni kwa sababu watawala wamewekeza nguvu kubwa kwenye siasa, kuliko maendeleo na mipango miji.
 
Tatizo ni kwamba sehemu kubwa ya majukumu ya waziri wa ardhi kwa muda mrefu imekuwa kutafuta kiki kwenye media kwenye kesi za watu kutapeliana ardhi na kugombea nyumba za urithi badala ya kujikita kwenye kuhakisha maeono yote yana mipango miji inayofuatwa na kuboresha miji.
 
Morroco wametuacha Tanzania mara MIAMOJA kimaendeleo.Nilikuwa naangalia mpangilio wa majengo pamoja na miundombinu mingine hadi nikawa najiuliza hawa wa kina Samia kila siku wanapaa angani kusafiri Kwa Kodi zetu kwenda nchi mbalimbali zenye mfanano kimaendeleo kama morroco lakini huwa wanashindwa kuiga mazuri ya huko Kwa Nini?.wanachojua wao ni kujilimbikizia Mali za Umma na kumrithisha watoto wao Mali za Umma.
 
Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.

Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek bila za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja.

Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi.

Njoo hapa kwetu sasa, utadhani nchi ilikuwa kwenye vita kwa miaka 50. Nimepita hapa Temeke ulipo uwanja mkuu wa nchi- masikini daaah. Kabla hujafika Temeke kwenye soka unapokelewa hapo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, unajiuliza hii ndio nchi yenye uhuru kwa zaidi ya miaka 60? Ndio nchi tunayoambia mabeberu watatuibia rasilimali?

Njoo sasa Magufuli bus terminal, tujumba kama mahandaki ya vita au wametoka kuchakwazwa na Israel ndio wameanza kujipanga.

Ukiwasikiliza sasa viongozi wetu wakiwa wanasoma karatasi ya maendeleo yetu. Unaweza kusema Morroco waje kujifunza hapa. Kasikilize nwanwa na tantalila za David Kafulila au Kitila Mkumbo-ujanja ujanja tu na takwimu za kubumba.

Naamini timu zote zikija hapa zitakiri zenyewe, kama hawa jamaa hawakujinda walituleta kutafuta nini huku?!
Tanzania itaenda kutia aibu kuhost mashindano ya kimataifa.

Nchi hizi zenye changamoto za kiuchumi zijikite kwenye kuweka sawa chumi zao kabla ya kujiingiza kwenye hizi anasa za ku host mashindano ya michezo.

Kuna pesa nyingi sana itapotezwa bila returns, katika nchi ambayo ina matatizo mengi sana.
 
Morroco wametuacha Tanzania mara MIAMOJA kimaendeleo.Nilikuwa naangalia mpangilio wa majengo pamoja na miundombinu mingine hadi nikawa najiuliza hawa wa kina Samia kila siku wanapaa angani kusafiri kwenda nchi mbalimbali zenye mfanano kimaendeleo kama morroco lakini huwa wanashindwa kuiga mazuri ya huko Kwa Nini?.wanachojua wao ni kujilimbikizia Mali za Umma na kumrithisha watoto wao Mali za Umma.
Wakienda nje kazi yao kubwa ni kupiga picha na kufanya shopping
 
Back
Top Bottom