Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kuna gemu ya SimbaDunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.
Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek bila za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja.
Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi.
Njoo hapa kwetu sasa, utadhani nchi ilikuwa kwenye vita kwa miaka 50. Nimepita hapa Temeke ulipo uwanja mkuu wa nchi- masikini daaah. Kabla hujafika Temeke kwenye soka unapokelewa hapo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, unajiuliza hii ndio nchi yenye uhuru kwa zaidi ya miaka 60? Ndio nchi tunayoambia mabeberu watatuibia rasilimali?
Njoo sasa Magufuli bus terminal, tujumba kama mahandaki ya vita au wametoka kuchakwazwa na Israel ndio wameanza kujipanga.
Ukiwasikiliza sasa viongozi wetu wakiwa wanasoma karatasi ya maendeleo yetu. Unaweza kusema Morroco waje kujifunza hapa.
Uwanja wa Arusha uko porini, utatupunguzia kidogo fedhehea na aibu ya mipango miji mibovu. Wawapange tu watangazaji wa AFCON kupamba kwa mapambio ya kutosha mazingira ya kijani yanayozunguka huo uwanja.Tunabahati mbaya sana kuhost AFCON after Morocco. Litakua shambulio la aibu.
Watumie hiyo tiketi ya uwanja kuwa porini kujisifia tunatunza mazingira sana, hatuharibu nature😁Brother hii nchi imelaaniwa sana kama kile kiwanja pale Arusha aisee tumepigwa sana pale jana nilipita ramani yake mbovu kicenge uwanja wenyewe upo porini
Tanzania itaenda kutia aibu kuhost mashindano ya kimataifa.Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.
Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek bila za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja.
Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi.
Njoo hapa kwetu sasa, utadhani nchi ilikuwa kwenye vita kwa miaka 50. Nimepita hapa Temeke ulipo uwanja mkuu wa nchi- masikini daaah. Kabla hujafika Temeke kwenye soka unapokelewa hapo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, unajiuliza hii ndio nchi yenye uhuru kwa zaidi ya miaka 60? Ndio nchi tunayoambia mabeberu watatuibia rasilimali?
Njoo sasa Magufuli bus terminal, tujumba kama mahandaki ya vita au wametoka kuchakwazwa na Israel ndio wameanza kujipanga.
Ukiwasikiliza sasa viongozi wetu wakiwa wanasoma karatasi ya maendeleo yetu. Unaweza kusema Morroco waje kujifunza hapa. Kasikilize nwanwa na tantalila za David Kafulila au Kitila Mkumbo-ujanja ujanja tu na takwimu za kubumba.
Naamini timu zote zikija hapa zitakiri zenyewe, kama hawa jamaa hawakujinda walituleta kutafuta nini huku?!
Wakienda nje kazi yao kubwa ni kupiga picha na kufanya shoppingMorroco wametuacha Tanzania mara MIAMOJA kimaendeleo.Nilikuwa naangalia mpangilio wa majengo pamoja na miundombinu mingine hadi nikawa najiuliza hawa wa kina Samia kila siku wanapaa angani kusafiri kwenda nchi mbalimbali zenye mfanano kimaendeleo kama morroco lakini huwa wanashindwa kuiga mazuri ya huko Kwa Nini?.wanachojua wao ni kujilimbikizia Mali za Umma na kumrithisha watoto wao Mali za Umma.
Ilikuwa game ya ahaly na simbaKuna gemu ya Simba
Kuna drone moja tukicheza na waarabu...
Sikumbuki jinaaa la Timu iyo ya waarabu,
ila wale waarabu wali rusha drone ikachukua picha maeneo ya ulipo UWANJA WA TAIFA.. NA MAENEO YA KEKO YAKA ONYESHWA YAKIWA NI SLUM NA MABATI YENYE KUTU.
Asantee kwa kuweka records sawa.Ilikuwa game ya ahaly na simba