sisi porojo
tupo bize na matangazo ya visit Zanzibar
Couldn't agree moreTanzania itaenda kutia aibu kuhost mashindano ya kimataifa.
Nchi hizi zenye changamoto za kiuchumi zijikite kwenye kuweka sawa chumi zao kabla ya kujiingiza kwenye hizi anasa za ku host mashindano ya michezo.
Kuna pesa nyingi sana itapotezwa bila returns, katika nchi ambayo ina matatizo mengi sana.
Hawa ndio watu wapo kwenye kamati ya maandalizi.Huwezi kuona aibu kukaribisha ndugu, jamaa na marafiki getoni kisa geto ni duni unalalia maboksi, hakuna masofa ya kukalia wakati mageto ya wasela wengine yamejaza vitu, geto lina thamani ya milioni kumi. Wageni waje tu watakaribishwa na wataambiwa hii ndiyo nchi yetu iko na hali hii myaonayo yaacheni humuhumu. Sisi tutaangalia pichi tu, majengo na barabara watusamehe ndio kwanza tunajitafuta. Sasa kama ule uwanja wa arusha ulioko porini mpaka ujenge majumba na barabara nzuri zikamilike itawezekana vipi kwa muda mfupi uliobaki? Wageni watakula kwenye vibanda vya mama lishe na kulala gesti za wenyeji wanakolala, imetoka hiyo! Bajeti haitoshi kujenga majengo mazuri kuzunguka uwanja na kujenga barabara za kisasa kwenda uwanjani, muda ni mfupi hautoshi kujenga kitongoji/mtaa wa uwanja uonekane kama wa morocco na huko ulaya. Hukohuko porini na mtaa wa mabati chakavu temeke mechi zitachezwa tu. Waleteni wageni wajipigie picha mazingira yetu hatutaona aibu nyumbani kwetu nyumba ni ya udongo juu na chini, ugali bamia
Usipuuzwe. Una HOJA NZITODunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.
Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek picha za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja.
Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi.
Njoo hapa kwetu sasa, utadhani nchi ilikuwa kwenye vita kwa miaka 50. Nimepita hapa Temeke ulipo uwanja mkuu wa nchi- masikini daaah. Kabla hujafika Temeke kwenye soka unapokelewa hapo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, unajiuliza hii ndio nchi yenye uhuru kwa zaidi ya miaka 60? Ndio nchi tunayoambia mabeberu watatuibia rasilimali?
Njoo sasa Magufuli bus terminal, tujumba kama mahandaki ya vita au wametoka kuchakwazwa na Israel ndio wameanza kujipanga.
Ukiwasikiliza sasa viongozi wetu wakiwa wanasoma karatasi ya maendeleo yetu. Unaweza kusema Morroco waje kujifunza hapa. Kasikilize nwanwa na tantalila za David Kafulila au Kitila Mkumbo-ujanja ujanja tu na takwimu za kubumba.
Naamini timu zote zikija hapa zitakiri zenyewe, kama hawa jamaa hawakujinda walituleta kutafuta nini huku?!
Ushauri
Serikali itenge fungu la bajeti za kuficha taswira ya nchi. Media zipewe fungu zisirushe picha za nje ya uwanja, humo Magomeni, Ubungo, Kinondoni wasifike
Watanzania hawana exposures, wanafanya vitu kwa kiswahili. Eti leo viongozi wanadhani washabiki na timu watakuwa okay kukaa na kucheza kwenye mazingira ya ovyo. Kama nchi haiwezi kuandaa, kwanini wanajilazimisha? Kuna nchi nyingi tu zenye uwezo mkubwa wa kuandaa, Tanzania ijitoe ibaki na mipira ya uswahilini. Eti mtu na tumbo lake anasema, kama ni kula tutakula hata mlenda na ugali? Hivi hizi akili za makalioni hao watu bado wanazitumia? Kweli ujamaa uliharibu sana nchi hii.Inabidi wageni waje wamefunika pua kama Michael Jackson. Tanzania,Uganda na Kenya ni nchi takataka sana. Hasa hao wawili wa kwanza.
Tunaenda kupata aibu ya kimataifa.Tunabahati mbaya sana kuhost AFCON after Morocco. Litakua shambulio la aibu.
😁😁😁Brother hii nchi imelaaniwa sana kama kile kiwanja pale Arusha aisee tumepigwa sana pale jana nilipita ramani yake mbovu kicenge uwanja wenyewe upo porini
Mnooo jamaa Wana building structure Moja Kali sana maisha safi kabisaTunabahati mbaya sana kuhost AFCON after Morocco. Litakua shambulio la aibu.
Yaaani hata nafsi haziwashtukiSisi tumeshafeli, hakuna namna!
Kuna raha gani kujilimbikizia mali hali ya kuwa nchi yako ipo hovyo?
Uwezo wetu wa kufikiri upo chini sana.
Ni ngumu sana ukiwa ni mtu mwenye kujivuna bila kukubali ushauri kutoka nnje ya utawala wako, unajiona ni mjuaji kumbe unapotea bila kujua.Yaaani hata nafsi haziwashtuki
Na ukiona tulivyo shupaza shingo kwa kutoa maelezo matam matam hasa tunazungumzia utalii utalii utazania wanakuja kucheza mpira na Nyumbu na Twiga.Tunaenda kupata aibu ya kimataifa.
Wawasaidie raia wenye nyumba zinazozunguka uwanja kubadilisha mabati yenye kutu.Huwezi kuona aibu kukaribisha ndugu, jamaa na marafiki getoni kisa geto ni duni unalalia maboksi, hakuna masofa ya kukalia wakati mageto ya wasela wengine yamejaza vitu, geto lina thamani ya milioni kumi. Wageni waje tu watakaribishwa na wataambiwa hii ndiyo nchi yetu iko na hali hii myaonayo yaacheni humuhumu. Sisi tutaangalia pichi tu, majengo na barabara watusamehe ndio kwanza tunajitafuta. Sasa kama ule uwanja wa arusha ulioko porini mpaka ujenge majumba na barabara nzuri zikamilike itawezekana vipi kwa muda mfupi uliobaki? Wageni watakula kwenye vibanda vya mama lishe na kulala gesti za wenyeji wanakolala, imetoka hiyo! Bajeti haitoshi kujenga majengo mazuri kuzunguka uwanja na kujenga barabara za kisasa kwenda uwanjani, muda ni mfupi hautoshi kujenga kitongoji/mtaa wa uwanja uonekane kama wa morocco na huko ulaya. Hukohuko porini na mtaa wa mabati chakavu temeke mechi zitachezwa tu. Waleteni wageni wajipigie picha mazingira yetu hatutaona aibu nyumbani kwetu nyumba ni ya udongo juu na chini, ugali bamia
Wapo wenye akili kubwa watakaoukuja kuibadilisha.Nchi hii milele hata milele itakuwa hivi hivi tu
Acha kutetea majambazi arifu.Vijana wangu, mwanzo mgumu. Ingawa ni kweli miaka ya uhuru haiendani na maendeleo halisi. Na hii yote ni kwa sababu watawala wamewekeza nguvu kubwa kwenye siasa, kuliko maendeleo na mipango miji.