Yaleyale yaliyojitokeza kwa Alikiba, Darassa, Aslay, Mavoko, n.k, ndiyo yanataka kujitokeza kwa Harmonize.

Yaleyale yaliyojitokeza kwa Alikiba, Darassa, Aslay, Mavoko, n.k, ndiyo yanataka kujitokeza kwa Harmonize.

Mashabiki ndio mnakuza hizi habri,harmoniz kashaema yeye Wcb ndio nyumbani na mond ni Baba yake sasa haya maneno mnayatoa wapi?

Jana tu katunukiwa na youtube na akatoa shout out kwa mond as role model wake..sasa huu upuuzi ww umeutoa wapi?
 
Kwa hiyo Diamond yeye atakuwa hapo alipo milele?
 
Amemsifia rais tu kwani ameisifia ccm?
Huyo dogo nilikua namkubali sana lakin baada ya kuimba nyimbo kuhusu magufuli sitaki hata kumskia na nyimbo zote kwenye flash zinazomhusu nimezifuta na sasa namuombea mikosi kama nilivyoomba kwa mzee wa upako saivi amebakia kichwa tu ajifie.
 
Kama anaona hapati maslahi kama anavyostahili ni bora aondoke sio kupata sifa mfukoni huna kitu kama boss wake ane aliweza kuachana na management iliyomkuza iwehe yeye aendelee kumtukuza mwenzie
 
Mimi nadhani kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la kujishikamanisha na siasa. Amepata sifa za upande mmoja kwa muda mfupi hadi jana akapata air coverage TBC. Lakini matokeo ya usanii huo atayaona baada ya muda si mrefu.
Acheni kumtisha, mwenzako ameotea gap la kwenye kampeni, nyie kaeni na chuki zenu za kisiasa na uchadema , hapa duniani ni kutafuta hela uishi fresh , diamond hitsong yake ya my number one aliiconvert na kuiita my CCM, akapiga hela mbaya kwenye uchaguz 2015, mlimsema vibaya kwamba atashuka na kuchukiwa na watu wasioipenda CCM, lakn leo yupo wap.....kila mmoja apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom