Yaleyale yaliyojitokeza kwa Alikiba, Darassa, Aslay, Mavoko, n.k, ndiyo yanataka kujitokeza kwa Harmonize.

Mkuu umetoa ushauri mzuri Sana Kwa dogo , harmonize anatakiwa ajue wabongo wengi ni wanafiki na Wana roho mbaya , hapo umesahau Yule dogo aliyekuwa wasafi Qboy msafi aliyeitoa Kwa mbwembwe , Ila dogo harmonize ni muelewa nilimsikiliza juzi kwenye interview akimtoa nishai muandishi WA habari aliyemuuliza habari za yy kupanda basi , nikaona harmonize anajitambua , Nia Yao ni kuwachanganisha yy na diamond ili wagombane , sijui hao watu watapata faida gani
 
Mimi nadhani kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la kujishikamanisha na siasa. Amepata sifa za upande mmoja kwa muda mfupi hadi jana akapata air coverage TBC. Lakini matokeo ya usanii huo atayaona baada ya muda si mrefu.
atawafata kina maroo wa bembereza
 
Pamoja sana mkuu
 
Haya mambo bado mnayaandikaga tuuhh!!!!??
 
Huyo dogo nilikua namkubali sana lakin baada ya kuimba nyimbo kuhusu magufuli sitaki hata kumskia na nyimbo zote kwenye flash zinazomhusu nimezifuta na sasa namuombea mikosi kama nilivyoomba kwa mzee wa upako saivi amebakia kichwa tu ajifie.
Dua la kuku
 

haya ni mawazo yako

kuwa Diamond ni SI unit ya muziko ni mawazo yako

kuwa hao wengine wameisha ki muziki ni mawazo yako

Leo hii hata wewe ukianza kuimba muzili utapata wafuasi ni mawazo yangu

..ni asili;



ukisema hao uliowataja wameisha kumuziki ...unashangaza na pia ni mawazo yako

Ukisema kila mtanzania au wengi anampenda diamond isnt that natural


yaani hata USA siku hizi wanamuziki wana hit sawa wote?
 
Pumba kama pumba zngne.
 
Wacha tuone siku za mbele @Harmonize atajaa atajitoa @WCB yule.

Mark my word.
 
Pumba kama pumba zngne.

yaani unataka ukiandika kila mtu akupe support tu??

inaonekana wewe ni inferio na insecure

maana unachojua ni matusi

ndio nyie mlidanganywa kwenye familia zenu

halafu ndo upewe uwaziri sasa
 
Sasa kwanini kila anaye linganishwa au pambanishwa na Huyo Diamond anaanguka?kwanini ukionekana mshindani wake unaishia vibaya kama ulivyosema?NDIO UJUE DIAMOND ni mwanga tu kama wachawi wengine wa Nigeria.
 
Sasa kwanini kila anaye linganishwa au pambanishwa na Huyo Diamond anaanguka?kwanini ukionekana mshindani wake unaishia vibaya kama ulivyosema?NDIO UJUE DIAMOND ni mwanga tu kama wachawi wengine wa Nigeria.
Sumbawanga mbona alianguka kwa stage au uchawi wa Nigeria haufui dafu wa Uko sumbawanga?
 
Kwahiyo mkuu, kama mtu amekushika mkono ndo aendelee kukushika mapema? ingekuwa na vema aondoke ili wengine wainuliwe. Maisha kusaidiana. Kama anaweza kusimama kwa miguu yake yampasa atembee.

Najitahidi kutafuta mfanano wa mifano yako kwa konde boy na hao wengine, ila sipati.

Halafu watu hutofautiana. Wanavyopotea wengine sio lazima na wengine wapotee.
 
yaani unataka ukiandika kila mtu akupe support tu??

inaonekana wewe ni inferio na insecure

maana unachojua ni matusi

ndio nyie mlidanganywa kwenye familia zenu

halafu ndo upewe uwaziri sasa
Nimechagua kukupuuza.
 
Sawa tupo hapa, tutakuja kukumbushana Insha'Allah..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…