endelea kujiaminisha hivyo....
Haijawahi kutokea
kwema sana tu, namshukuru Mungu kwa uhai na uzima. vipi ww sister?
Me ni LIVERPOOL FC mamii!!!!!!!😄😄😄😄
Ughonile.............!
Yaan tz nzima hakuna timu ya kushabikia zaidi ya wachafua passport DAR YOUNG AFRICA mabingwa wapya Daima mbele
Zawadi yenyewe Masuke anazingua ananipa masharti eti natakiwa kuperuzi JF tu!
Mikia roho zinawauma sana.
Hahahaaa,wewe ngoja tu ipo siku nitakubamba!
Usijali, mkiwatoa kwa kishindo (different of two goals on aggregate) utakuwa huru kuperuzi mitandao yote.
Daah, mkuu nakupa hongera kwa kujiandaa kisaikolojia. Ni mashabiki wachache sana wanaoweza kujitabiria kipigoHao Waarabu tutawacharaza 4-0 Dar, Tunis watashinda kwa 2-0, Goal difference will be 2 on aggregate...