Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Haijawahi kutokea

attachment.php
endelea kujiaminisha hivyo....
 
kuna mtu anajitapa eti wana makombe mawili hebu ngoja nicheke kjapan swi swi swi swi,kwel nyie mbumbumbu fc,sawa ila nakukumbusha tu kabla ya kuanza ligi hua kuna kombe sjui unafahamu?unakumbuka bingwa nan?
 
Maximo alikuwa anatupotezea muda, Yanga wanacheza soka safi sana
 
Yaan tz nzima hakuna timu ya kushabikia zaidi ya wachafua passport DAR YOUNG AFRICA mabingwa wapya Daima mbele
 
Yaan tz nzima hakuna timu ya kushabikia zaidi ya wachafua passport DAR YOUNG AFRICA mabingwa wapya Daima mbele

Hivi Zanzibar hakuna Passoprt siku hizi? Au unajiendea tu kama unaenda Mkuranga vile? Ndio kwenye bonanza la Mapinduzi Cup.
 
Zawadi yenyewe Masuke anazingua ananipa masharti eti natakiwa kuperuzi JF tu!
Mikia roho zinawauma sana.

Usijali, mkiwatoa kwa kishindo (different of two goals on aggregate) utakuwa huru kuperuzi mitandao yote.
 
Usijali, mkiwatoa kwa kishindo (different of two goals on aggregate) utakuwa huru kuperuzi mitandao yote.

Wewe jamaa una masharti jamani!
Khaaaa....Haya basi.
 
Wewe jamaa una masharti jamani!
Khaaaa....Haya basi.

Usijali Mkuu nifah, hadi hapo namuona Mkuu Masuke akiwa ameliwa. Hao Waarabu tutawacharaza 4-0 Dar, Tunis watashinda kwa 2-0, Goal difference will be 2 on aggregate. Masuke ajiandae kutimiza makubaliano.
 
Last edited by a moderator:
Hao Waarabu tutawacharaza 4-0 Dar, Tunis watashinda kwa 2-0, Goal difference will be 2 on aggregate...
Daah, mkuu nakupa hongera kwa kujiandaa kisaikolojia. Ni mashabiki wachache sana wanaoweza kujitabiria kipigo
 
Back
Top Bottom