Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Hao wanawake wanakuhusu nini?? Kwamba kama.ana mahusiano na wewe asipende wengine au?? Kila mtu apambane na penZi lake.halafu Achana na ushamba wa kupigia watu simu toka kwenye simu ya mtu wewe.yaani ungekutana na Mimi ningekuambia kwanza tumeathirika Mimi na hyo mwanaume ningekupa shuhida feki Hadi ufe