Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

Hiyo sehemu fulani wameanza na ziara ya 'Royal Tour' na kurudisha mawaziri incompetent madarakani 😑
 
Malawi kuna upinzani; Tanzania kuna wachumia tumbo. Shaka Hamdu Shaka anasoma analysis yako na kukucheka tu
 
Unasahau kusema kuwa Joyce Banda alihama Chama kilichompa madaraka akahamia chama kipya akiwa Rais
 
Kama kuna MTU atashindwa kuamini haya uliyoyaandika basi atakuwa ana mapungufu makubwa kichwani !!!
 
Imagine, Kuna watu wanaamini kabisa wajumbe wale wale waliopiga kura πŸ’―% kumchagua Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM eti watakuja kumkata RAIS SAMIAπŸ˜„πŸ˜„
Shangaa na wewe !!!
 
Umenena ukweli huyu wetu elimu yake ni ndogo kma ya lusinde au msukuma,mpka 2025 atakua amechoka sana...spika nae ni mzigo akili na sura yake kma mjusi kafiri
 
Dunia ya Sasa 2025 Tanzania haitamhitaji Samia I tell you, Ikulu inahitaji mtu makini hasa mwanaume ambae ataelewana na makamanda walinzi wa taifa kwa weledi hasa, ni ngumu kuelewa kwa sasa, namkubali Madam Samia sana tu ila sio kuwa Rais wa nchi hii 2025. World dynamics tulizo nazo hakika haziwezi niwe mkweli kabisa 2025 hatasimama yeye, Mgombea wa CCM yupo na ni mweledi anaelimu nimjuzi, anasifa zote, na yupo tayari kwa nafasi hio. Tusubiri wakati.
 
Unayosema ni kweli lakini usitegemee hilo kutokea tanzania taifa la watu waliolala usingizi wa pono, hilo linalotokea sasa hivi la wabuge cvd 19 kwengineko tayari wananchi wangekwisha chukuwa hatua hapa ni maneno tu na mastori kwenye vyombo vya habari na hata ikifika uchaguzi ndo hayo hayo hakuna tume huru wala uchaguzi huru huyo huyo atajipa ushindi wa aslimia 82
 
Safari hii nitapiga kura hata kama itaibwa/ kuchezewa ujumbe utakuwa umefika!!
 
Hao watu Laki moja watatoka wapi?

Jaribu kufikiri.

Siku zote maandamano serious huwa yanaletwa na waandamanaji waliohamasika na kuwa brainwashed kupitia aidha DINI au KABILA.

Hivi vitu hapa Tanzania ni ngumu.

Utawaunganisha watu kupitia Nini waingie barabarani kufa au kupona??
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi hii ya Mahera?
 
Lakini umeandika point ila na wewe ukiwemo
 
Ata Zambia Hichilema alifungwa hakuna mzambia aliyeandamana lakini kura alipata
 
Brainwashed? na sijui unaishi wapi wewe, dunia ya leo na teknoloji yote iliyopo kuunganisha watu ni dakika moja tuu, watu wanahitaji sababu tuu na kuamini wanachotaka sio dini wala kabila....remember Arab spring??
 
Brainwashed? na sijui unaishi wapi wewe, dunia ya leo na teknoloji yote iliyopo kuunganisha watu ni dakika moja tuu, watu wanahitaji sababu tuu na kuamini wanachotaka sio dini wala kabila....remember Arab spring??
Sawa, endelea kusubiri Arab spring
 
Kwanza unazungumza nchi mbili zenye siasa tofauti. Ila pia nikukumbushe; mabadiliko ya Marais Malawi yalianzia kwa Muluzi, wakachagua chagua wapinzani mwisho wa siku wakairudisha Malawi Congress Party (MCP) . MCP ni Chama kilichopigania Uhuru kwa sasa ndiyo inaongoza nchi, chini ya Rais Chakwera. Vyama vilivyopigania Uhuru vina uchungu na nchi.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…