Siasa za Malawi ni TOFAUTI sana na Tanzania.
Ni vizuri kuwa na ndoto lakini angalau zifanane na uhalisia.
Tanzania hata Rais akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna kitu MTAFANYA.
Kwa lugha rahisi, Hakuna kundi lolote la kisiasa unaloweza kusema Ni TIIFU kwa wapinzani wa Serikali.
Kuanzia Wasanii , Team za Mpira ( Simba & Yanga ), Matajiri, Vyama vya wafanyakazi, Wanawake, Wanazuoni, Viongozi wa dini ( CCT, TEC, EAGT, TAG, BAKWATA ).
Kwa lugha rahisi, ili uweze kuipa serikali Kash Kash unatakiwa kuwa nguvu ya kuamrisha UMMA ukakutii.
Lakini Kama anakamatwa Mwenyekiti Hakuna mtu anaingia barabarani kushinikiza atoke. Kila mtu anajifanya mwanaharakati nyuma ya keyboard, mpaka anatolewa kwa huruma tu ya aliye mweka.
Katika mazingira hayo, unadhani Kuna INFLUENCE yoyote yenye madhara.
Achaneni na NDOTO ZA ALINACHA.
FACE THE REALITY.