Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...
Ccm wajinchange tu tena utakuwa mwisho wake na tz tuenda kuandaa history na siyo CDM lbda hii chama Cha magufuli cation
 
Humpendi tuu Samia umeshindwa kuficha hisia zako [emoji1787]
Kuna mtanzania mwenye akili timamu anayempenda? Labda wamarekani, waingereza, wafaransa, wezi wa mali ya uma, wala rushwa na wapiga dili.
 
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...

Kama bado unaamini sanduku la kura ndiyo linachagua Rais basi huijui vizuri hii nchi. Anza kwanza tangu uchaguzi wa awamu ya 3 ambao Mrema alimbwaga Mkapa, uchaguzi ukavurugwa mchana kweupeee. Tena mbele ya jumuiya za kimataifa zilizokuja kushuhudia huo uchaguzi.
 
Siasa za Malawi ni TOFAUTI sana na Tanzania.

Ni vizuri kuwa na ndoto lakini angalau zifanane na uhalisia.

Tanzania hata Rais akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna kitu MTAFANYA.

Kwa lugha rahisi, Hakuna kundi lolote la kisiasa unaloweza kusema Ni TIIFU kwa wapinzani wa Serikali.

Kuanzia Wasanii , Team za Mpira ( Simba & Yanga ), Matajiri, Vyama vya wafanyakazi, Wanawake, Wanazuoni, Viongozi wa dini ( CCT, TEC, EAGT, TAG, BAKWATA ).

Kwa lugha rahisi, ili uweze kuipa serikali Kash Kash unatakiwa kuwa nguvu ya kuamrisha UMMA ukakutii.

Lakini Kama anakamatwa Mwenyekiti Hakuna mtu anaingia barabarani kushinikiza atoke. Kila mtu anajifanya mwanaharakati nyuma ya keyboard, mpaka anatolewa kwa huruma tu ya aliye mweka.

Katika mazingira hayo, unadhani Kuna INFLUENCE yoyote yenye madhara.

Achaneni na NDOTO ZA ALINACHA.

FACE THE REALITY.
Kinacholeta mabadiliko sio hayo mambo uliyoyataja bali ni Muda.Muda ndio tiba ya kila kitu.Muda ukifika umefika hata ujipinde vip kuuzuia.ata uwe na kila kitu chakukulinda.Iko siku hii nchi muda wake wakufanya mabadiliko utafika na hakuna atakayeamini.Hata hizo nchi unazoziona zina tofauti na Tanzania yalitokea yaliyotokea kwasababu muda wake ulifika.Tusiusemee muda kwasababu iko siku utafika tu.
 
Toa mifano, ili uipe nguvu hoja yako.
 
Baada ya banda kupigwa chini na mgogoro wa kugombea ziwa Malawi ukaisha
 
Sio rahisi kwasababu huku ccm inalindwa na dola ....hili hutamsikia pasko akilisemea
Umeshajiuliza nikwanini nchi nyingi za afrika zimewai kupinduliwa?.Nikwasababu viongozi wao walitegemea zaidi dola kuongoza na kwasababu walijua dola iko upande wao wakajisahau nakujiona nchi ni mali yao bila kujua mabadiliko yakija ata unachokitegemea kinaweza kukugeuka.
 
Toa mifano, ili uipe nguvu hoja yako.
Matukio yaliyotokana na muda yako kila leo.kwa mfano rahisi tu Inawezekana ata rais aliyepo sasa miaka michache nyuma ungemwambia atakuja kua rais angekataa au ata yeye mwenyewe alikua hana hiyo ndoto ila muda ulipanga na ukatekeleza kwa namna ulivyoona inafaa.Kwahiyo ata kesho kunaweza kua na jambo jingine ambalo kwa akili na kiburi cha wanadamu ni ngumu kulifikiria.TUISHI.
 
Kuhisi Jambo fulani litatokea au kuona vitu visivyokuwepo Ni tatizo kubwa la akili.

Anyway, mostly kila unachodhani Ni mabadiliko. Mara nyingi siyo.

Ndio maana, mabadiliko ni infinity term.
 
Aje tu atakae eleza sera zake vizuri, na sita huyu anaacha vitu bei juu huku anatuumiza.
 
Siasa za Malawi ni TOFAUTI sana na Tanzania.

Ni vizuri kuwa na ndoto lakini angalau zifanane na uhalisia.

Tanzania hata Rais akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna kitu MTAFANYA.

Kwa lugha rahisi, Hakuna kundi lolote la kisiasa unaloweza kusema Ni TIIFU kwa wapinzani wa Serikali.

Kuanzia Wasanii , Team za Mpira ( Simba & Yanga ), Matajiri, Vyama vya wafanyakazi, Wanawake, Wanazuoni, Viongozi wa dini ( CCT, TEC, EAGT, TAG, BAKWATA ).

Kwa lugha rahisi, ili uweze kuipa serikali Kash Kash unatakiwa kuwa nguvu ya kuamrisha UMMA ukakutii.

Lakini Kama anakamatwa Mwenyekiti Hakuna mtu anaingia barabarani kushinikiza atoke. Kila mtu anajifanya mwanaharakati nyuma ya keyboard, mpaka anatolewa kwa huruma tu ya aliye mweka.

Katika mazingira hayo, unadhani Kuna INFLUENCE yoyote yenye madhara.

Achaneni na NDOTO ZA ALINACHA.

FACE THE REALITY.
Itakuja tuu, wakiingia watu laki moja barabarani unafikiri CCM na dola yake watafanya nini?watapiga piga lakini hakuna zaidi ya hapo, na ukiua maelfu ndio utakuwa mwisho wa CCM na utafunga wangapi? na kwa dunia ya leo mambo ya LIVE ndio utakuwa mwisho wa CCM na serikali yake, nakuhakikishia siku watu wakiamua kuingia barabarani kwa number kubwa kama laki moja au zaidi kutakuwa hakuna cha polisi au dola na hapo ndio utajua nguvu ya umma ni nini
 
Siasa za Malawi ni TOFAUTI sana na Tanzania.

Ni vizuri kuwa na ndoto lakini angalau zifanane na uhalisia.

Tanzania hata Rais akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna kitu MTAFANYA.

Kwa lugha rahisi, Hakuna kundi lolote la kisiasa unaloweza kusema Ni TIIFU kwa wapinzani wa Serikali.

Kuanzia Wasanii , Team za Mpira ( Simba & Yanga ), Matajiri, Vyama vya wafanyakazi, Wanawake, Wanazuoni, Viongozi wa dini ( CCT, TEC, EAGT, TAG, BAKWATA ).

Kwa lugha rahisi, ili uweze kuipa serikali Kash Kash unatakiwa kuwa nguvu ya kuamrisha UMMA ukakutii.

Lakini Kama anakamatwa Mwenyekiti Hakuna mtu anaingia barabarani kushinikiza atoke. Kila mtu anajifanya mwanaharakati nyuma ya keyboard, mpaka anatolewa kwa huruma tu ya aliye mweka.

Katika mazingira hayo, unadhani Kuna INFLUENCE yoyote yenye madhara.

Achaneni na NDOTO ZA ALINACHA.

FACE THE REALITY.
Uko sawa lakini huwa yana mwisho. Compaore na CCM walikuwa hivi hivi
 
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...
Mahakama iko mikononi mwake, Jeshi kwake, usalama kwake, tume ya uchaguzi kwake.

Mtasubiri sana. Hizi ni kelele za chura

Mama Samia piga kazi.
 
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...
Nadhani Tatizo kubwa hakuna chama cha Upinzani, hapo Mama na sisis CCM ndiyo tutapenyea, na hili la akina mdee ni bonge la game Mbowe kaingia bichwa loooteeee CCM tunakenue meno tu. Kosa la Mbowe ni kukubali kuwafukuza hiyo ni furaha sana kwetu tukiona Mdee na Mbowe wanatukanana na huku bado Dkt slaa aliyetishiwa kuuawa na mbowe kisa kumkataa lowasa hahahah
 
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...
Akili za kiafrika za mfumo dume zinakusumbua mkuu. Umekariri mambo yale yale ya kipuuzi yanayoendelea mtaani kwamba mwanamke hawezi kuwa rais.

TRA mapato hayajashuka tangu mwaka jana yapo vile vile. Maji yanasamba nchi nzima. Watalii wanazidi kuongezeka huko kaskazini. Hakuna ubaguzi wa kanda za kupewa maendeleo na nyingine za kunyimwa. Mishahara imeongezwa mwezi huu.

Hayo ya Malawi ni ya kwao, ni nchi mbili tofauti hazifanani kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom