Yaliyo Nyuma na Mbele ya Simba Sports Club


Katika soka hakuna formula ILA tuna formation ......
 
Uchebe anajua aprooch ya makundi na mtoano kwa hiyo atakuja na fomula sahihi.Kuhusu usajili wa msimu unaokuja.Huku kuna watu makini yote mapungufu yatafanyiwa kazi.
 
japokuwa mimi ni mshabiki dam dam wa simba naomba... nikupongeze kwa andiko hili pure profesional na kwa kuonyesha hauko kishabiki ukaweka na mikakati mizuri kwa mpangilio ulioeleweka ....namini watauona huu uzi.....

ukweli mchungu naombeni maji
Kuna mashabiki, wapenzi na wadau wa mpira, kutokana na bandiko la jamaa nadhani mashabiki hawawezi kumuelewa huyu jamaa.

Wanaleta usimba na uyanga.
 
Baada ya mechi ya marudiano na Mazembe nitarudi katika Uzi wako
 
Punguza ukilaza wewe,kwani timu ikisema inaenda kucheza defensive approach INA maana MTU akipata nafasi ya kufunga atarudisha mpira nyuma kwa kipa wake??Plan ni kuongeza nguvu ya ziada ktk hiko ulichokipanga!!Hivyo Simba waliamua kuongeza nguvu ya ziada ktk mechi za nyumbani,na wenzetu wamefanikiwa kwa plan hizihizi,Al Ahly bingwa Mara 8 kafungwa ugenini Mara 35,kashinda chache sana.Zote hizo ni plans tu ndugu.

Na kuhusu kufungwa unataka kusema Barcelona walipanga kufungwa 4-0 na PSG kule Paris??hakuna MTU anayepanga akafungwe.Ila MTU huchagua kuelekeza nguvu zaidi wapi na kwa sababu gani.

Umeshaambiwa approach ya knockout stage ni tofauti na league.Umeshaambiwa alichofanya Simba dhidi ya Mbabane na Nkana ugenini,yote Yale ni matokeo ya Plan and Approach.

Hata Hivyo umezungumza point nzuri tu,tatizo unachanganya na uchura ndani yake ndio maana tunakushambulia,tunashambulia uchura wako sio point zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tukutane Taifa Jumamosi.
 
Baada ya mechi ya marudiano na Mazembe nitarudi katika Uzi wako

Kabisa Kaka.

Tukumbuke Mazembe alifungwa sana ugenini kwenye game za ugenini But alimtandika mtu goli saba.

Hofu yangu ni kwamba simba amaweza kushinda jumamosi na ushindi wake I am sure hautozidi goli mbili. Lakini je khabari itakuwaje kule kongo? Yaani hatari Fire [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…