Yaliyo Nyuma na Mbele ya Simba Sports Club

Pamoja na takwimu zako ndeeeefu lakini umesahau hatua ya makundi nitofauti na mtoano.

umeshindwa kutambua kwamba robo fainali haina tofauti na hatua za Awali. Ambazo simba ilifanya vizuri kwa kupata mabao hata ugenini. Lakini umevaa miwani ya chuma na kuganda kwenye hatua za makundi kwamba simba iligeuzwa kapu la mabao ugenini.

napenda ujue kwenye hatu hii usitegemee kuiona simba yakufungwa goli 5 ugenini. Ila tegemea kuiona simba yenye ushindani nakupata matokeo. Kila hatua plan ubadilika. Hukum baada ya matokeo nasio kabla ya matokeo.

waliokua wanatudhihaki juu ya Asi vita wako wapi? Wekeni hakiba ya maneno. Simba imedhamiria kufanya makubwa mwaka huu.
 
Pole Mtani.
Pole nikupe wewe. Vipi wewe Yanga ipi ya Mkuchika au Akilimali?Uchaguzi nini?
Michango ya 1.5 bilioni mmechanga milioni 60 itachukua miaka mingapi kusajili?
Mtani nyufa nyingi sana za kuziba mnazo lakini ajabu mnaona kwa jirani.Toeni boriti kwenye jicho lenu msihangaike na ubanzi kwenye jicho la jirani.
 

Sawa. Jumamosi ni kesho kutwa. Nitatamani ukirudi kwenye uzi huu baada ya game. Pamoja Na yote ndoto yangu ni simba itoboe
 
endeleeni tu kutuombea mabaya
sasa hivi mmekuja na historia,mlinunua kanzu za mtumba ili kushangilia waarabu
Mkuu habari;wala hakuna sehemu huu uzi unaoiombea Simba mabaya,mleta mada kaelezea vzr sana na what to do specifically kwenye mechi za away,sijaona sehemu hata chembe alipiwaombeeni vibaya Simba,kwenye ukweli ni vzr mkachukua mawazo ya wengine mkafksha kwa wahusika ili wazifanyie kazi.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Safi mkuu! Ushauri mzuri Sana umetoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…