PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Pamoja na takwimu zako ndeeeefu lakini umesahau hatua ya makundi nitofauti na mtoano.
umeshindwa kutambua kwamba robo fainali haina tofauti na hatua za Awali. Ambazo simba ilifanya vizuri kwa kupata mabao hata ugenini. Lakini umevaa miwani ya chuma na kuganda kwenye hatua za makundi kwamba simba iligeuzwa kapu la mabao ugenini.
napenda ujue kwenye hatu hii usitegemee kuiona simba yakufungwa goli 5 ugenini. Ila tegemea kuiona simba yenye ushindani nakupata matokeo. Kila hatua plan ubadilika. Hukum baada ya matokeo nasio kabla ya matokeo.
waliokua wanatudhihaki juu ya Asi vita wako wapi? Wekeni hakiba ya maneno. Simba imedhamiria kufanya makubwa mwaka huu.