Yaliyofichika kwenye Mti wa Krismas, usithubutu kuununua

Bakiif ndugu yangu, kutokana na jina lako uliloamua kutumia nadhani wewe ni muislam. Na post zako mbili leo unazungumzia mambo ya Christmas. Hii ina maana wewe kama Muslim hayakuhusu kabisa. Waache wataulizwa na 'Mungu' wao wakati huo wewe ukiwa 'peponi' ukila na kunywa vitamu. Kubali Kataa huwezi chagua jirani wa kuishi naye.
 

Uzi mwingine kutoka madrasa,kwani ukristo umewakosea nini,bakini na mungu na imani yenu mbona kuuandama ukristo?wakristo nao wakiaza kuandama sikukuu zenu kutakalika? Dini zimewafanya mmekua wapuuzi na watumwa wa kifikra to the max hadi kuanza kujenga chuki na waisio amini.
 
sawa sawa mjukuu wa marehemu mudi
 
Uchonganishi na ubaguzi,dunia ilishatoka kwenye uchonganishi na ubaguzi wa kiitikadi🤔
 
Mwambie huyu shekh Mo Salaa Kipozeo.
 

Ngoja nikanunue kesho nione kama usemayo ya kweli

CHRISTMAS MUBARAQ Ustaadh Majinun[emoji28]
 
Hujui siku hizi hata Ulaya wanaweka miti ya bandia (plastics)
Na hiyo inabeba nini?
Wazungu wanajua sana kubuni biashara ili serikali zipate kodi
Xmas ina biashara kubwa sana na ikiisha inaingia New Year biashara nyingine tena

February nayo wanaanza na Valentines wanauza kadi na zawadi kama vichaa hapo serikali inaingiza KODI na watu wanapata chakula

Mwezi wa Tatu ni Mother's day

April kuna Easter jamani halafu nyie kiongozi anafukuza watu Dar eti kama hawataki msongamano
Hivi hakuna ubunifu kabisa kwenu
Msihangaike na haya mambo bali ni mbinu tu kila mwezi lazima utanunua kitu utake usitake ila sio nyie
 
Unaonekana ni mpuuzi kushambulia sikukuu za wengine ili hali nawe una sikukuu za ajabu ajabu kwenye dini yako. Huo mti hununuliwa kama pambo tu na hauna utukufu wowote wa ibada. Umekazana kuleta nyuzi za kukandia krismasi huku nawe una sikukuu za ajabu katika dini yako na hakuna wa kuchimbachimba sikukuu unazoziabudu katika uislam wako. Heshimu sikukuu za wengine
 
huyo ni mwendawazimu tu, asubiri sikukuu zake za idi anazoona ndizo sikukuu kumbe ni abrakadabra tu
 
Wewe usituchanganye bhana!!,Kila kitu ukionacho Duniani kinapewa maana nzuri au mbaya na binadamu,Hata Mwezi na nyota kwenye Misikiti kuna binadamu wamevipa maana mbaya pia,yawezekana sehemu zingine hata ukivaa baraka shee wanakushangaa kwasababu ya maana waliyoipa hiyo barakashee.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Waislam wanaujua ukristo kuliko wakristo wenyewe. Ila wakristo wakijifanya wanaujua uislama wanaambiwa watulie. Huu uharo ulioandikwa hapa ni dhahiri hii dini ya kiislamu ina mapungufu makubwa sana. Mtu ana wivu mpaka na sherehe isiyomhusu. Juzi tu mtanzania mwenzetu kauwawa na HAMAS wamepambana kuwakingia kifua HAMAS, Yani takataka.
 
Kukata miti ili kupamba ndani Christmas kunaharibu mazingira.
 
Radical islam nitatizo na ndio sababu ya kinacho endelea Gaza
 
Dini zimesababisha uwezo wa kufikiri wa mtu mweusi kutokomea kusikojulikana.
 
Huo ndio ukweli, labda ulete ukweli wako tofauti na huo
Inawahusu Nini hivi kwa Nini msiandike juu ya ukombozi wetu kifikra?yaani ww unaetetea uislamu na huyo anaetetea ukristu ur all mazafakaz Cha msingi turudie Imani zetu kabla hawajaja Hawa mabwana zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…