Snowden E JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 1,668 Reaction score 2,908 Dec 24, 2023 #61 Mudawote said: Asante maana sijasoma nimeona kama unadhihaki Click to expand... Wewe ni kichwa maji. Ukiwa na chuki..jiandae na.. B.P, then Kidney failure. Acha chuki...Uislamu na Ukristo ni DIni za Kuja tu.
Mudawote said: Asante maana sijasoma nimeona kama unadhihaki Click to expand... Wewe ni kichwa maji. Ukiwa na chuki..jiandae na.. B.P, then Kidney failure. Acha chuki...Uislamu na Ukristo ni DIni za Kuja tu.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Dec 24, 2023 #62 Wasabato kwenye moja mbili.
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Dec 24, 2023 #63 Krisman na kila kilichomo ndani yake ni ushetani kabisa
BUSHU3 Member Joined Apr 8, 2021 Posts 73 Reaction score 74 Dec 24, 2023 #64 Hawa wwnzetu wanafundishwa chuki dhidi ya ukristu
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Dec 24, 2023 #65 Wenzako wanasoma kupata maarifa we upo bize unaangalia sinema madrasa Al Noor, angalia saivi huna akili unawaza Sherehe za watu zisizokuhusu....... Haya nakukaribisha tabata kuanzia Leo mpaka j4 ule kitimoto Tani yako bill juu yangu😂
Wenzako wanasoma kupata maarifa we upo bize unaangalia sinema madrasa Al Noor, angalia saivi huna akili unawaza Sherehe za watu zisizokuhusu....... Haya nakukaribisha tabata kuanzia Leo mpaka j4 ule kitimoto Tani yako bill juu yangu😂