Uchaguzi 2020 Yaliyojijiri katika uzinduzi wa Kampeni za Prof. Kitila Mkumbo

Uchaguzi 2020 Yaliyojijiri katika uzinduzi wa Kampeni za Prof. Kitila Mkumbo

Ifikie hatua muone aibu yaani mnatuma picha baada ya kuzifanyia editing kwa ufupi ni kwamba kuanzia Tabora, Shinyanga hadi leo Dodoma mmeangukia kisogo Kama siyo pua.
Mimi sio level yako, sipaswi hata kukujibu, hebu tafuta wa level yako please! I am sorry
 
Mimi sio level yako, sipaswi hata kukujibu, hebu tafuta wa level yako please! I am sorry
Acha kujipaisha wewe!

Hebu leteni picha za mikutano ya chadema ile ya dr. Slaa tuone.

Hii chadema ya Lisu ni bure kabisa. Yani mmefikia hatua hata picha mnatuma kwa kuogopa?
 
Acha kujipaisha wewe!

Hebu leteni picha za mikutano ya chadema ile ya dr. Slaa tuone.

Hii chadema ya Lisu ni bure kabisa. Yani mmefikia hatua hata picha mnatuma kwa kuogopa?
Sijibishani na wavulana wanaoishi kwao! Tafuta wa level yako
 
Sijibishani na wavulana wanaoishi kwao! Tafuta wa level yako
Kaone haka!

Nenda kwenye magroup ya bavicha wenzio ndio utajibiwa kinachokufurahisha pekee!

Lakini ukiwa hapa utajibiwa sawasawa na mjadala uliopo. Ni jukwaa huru hili.
Hatuko kwenye group la whatsap la bavicha hapa
 
Kitila apata aibu kubwa mkutanoni, ni baada ya kuwauliza akina Mama kama wana maji, wakamjibu Ndio! Alitegemea jibu la hapana ili amu-outsmart Mnyika na Chadema....kaumbuka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ubungo changamoto ni barabara za mitaani hasa maeneo ya kimara kibangu na changanyikeni
 
Namtabiria makubwa huyu mwamba.
Mungu amjalie apate Ubunge aanze safari ya kuwa kiongozi mkubwa nchini.
Muulize anakumbuka hio kauli 2015?
JamiiForums901192794_540x416.jpg
 
Back
Top Bottom