Yaliyojiri Birthday Party ya Tanasha , Mama Diamond .

Yaliyojiri Birthday Party ya Tanasha , Mama Diamond .

Watoto wote ni wa kwake , kosa la diamond alikua akienda kutongoza wanawake ili aonekane saint na bado.ni Mbichi alikua anakana wale watoto wa zari

Hii tabia chafu ya kukana watoto kwa michepuko wakati anafatilia papuchi Wanayo wanaume wengi sana especially waliozaa hovyo
😁😁😁inasikitisha sana mtoto kufanana na baba wa kambo, na watoto wa baba wa kambo.kitanda hakizai haramu😂
 
Jaman kwan mwanaume akizaa nje na wanawake wengine harusuwi kuoa tena au mwanamke haruhusiwi kuolewa nae, mana kama ndo hivyo wengine hatutoa basi
 
ha ha ha, kwahiyo mama daimond anambemenda yule ki bent 10?
ina maana baba daimond alishindwa kusimamia ukucha mpaka daimond akamfanyia ukuhadi mama yake mzazi, yaani inasemekana Daimond ndio alitafuta mwanaume wa kumsugua mama yake mzazi, hii dunia imeisha, huyo mwanaume analishwa , valishwa, ananyolewa mpaka vuzi kwa gharama za diamond, uswahili aisee, sijui, ulimbukeni sijui, hawa "WAha wa Kigoma" wameharibu kabisa hii nchi, na ifike pahala " usalama wa Taifa" waangalie huu mwenendo, kama dogo anaharibunkiazzi,wamweke wengine wanapowekwaga.
 
ukitaka kujua kama mtu ana tabia ya kukana mtoto,

angalia his past relationships.

.ukiona mtu hajaoa wakati ana umri wa kuoa na ana watoto mahali ..

.awe ame wakana ama hajawakana

..kitendo cha kutotaka kujicommit

into relationship ni tatizo

...sipendi kuongea sana but mliozaa na Diamond,

mnisamehe

but the truth is,

malezi ya Diamond yamechangia yeye kuwaignore watoto wake..

..hajakulia kwenye secured home,baba mama watoto..

hajawahi kumuona baba yake akimuhudumia.

.huyu mtu haoni jukumu la kulea mtoto ni lake.#

.sababu hakuona baba yake akimfanyia hivyo...

...tatizo wanawake huwaga tunaona red flags

..ila tuna zignore..hoping someone will change..

kumbe tunajiingiza matatizoni tuu..
Rebbeca umetemaa vitu amazing
 
Akit
Wangapi walikua wanasubiria engagement ya tanasha na domo kama mimi ?, by the way nilijuaga wakenya wakogo smart kuliko mademu wa tized, ila now it’s confirmed they are all the same , they are all from the same mother , beautiful little fools .

Sasa Tanasha na uzuri wote huo na u smart wote huo, you are going to build a family with irresponsible father who abandoned three of his kids from different mothers na wewe unapeleka bakuli yako ubebe watoi ukitegemea you will change domo , for what may be? , au tumbo lako linabeba dhahabu mwenzetu?, hizo raha unazozipata wewe na wenzio waliopita wote walizipata, there is nothing special umepewa kwa domo, kama mimba Zari alibeba watoto wawili, wakike na wa kiume, sasa hivi anaishia kutuma pesa tu watoto hawaon . Hamisa nae alibebeshwa na mashauzi kama yote, now amebak akilea mtoto mwenyewe, hata kama anapewa pesa za matumiz still mtoto hapati ile father and son moment ya kuji enjoy kwa raha .

Majuto na vilio utakavyopata ni makubwa kuliko raha za sasa hvi , Zaa na Diamond kwa sababu tu you want to ila sio kusema et utamtuliza au atakupenda zaidi, hata kama yeye akikubali kubadilika na ku Settle, kumbuka there is bitch called Karma, it never sleeps, maumivu na machozi aliyoyasababisha kwa wanawake wengine it will still haunt him, it’s a law of nature hakuna uchawi.

Zari is heart broken right now , sio kwa sababu anampenda sana Diamond , la hasha, she just want the best for her two kids , anataman sana baba watoto wake awe karibu na wanae kivyovyote vile, all mothers can relate ... Zari c kwamba anamtaka sana Diamond coz she has it all in life , and when she got diamond she was ready to settle atengeneze nae Maisha, we all know how this beautiful love story ended.

I’m just sorry for you tanasha , you could have get your own man , mjenge familia yenu, now you have to deal with diamond and her dramatic family , apo bado ujaanza kuonyeshwa ma picha picha ya wanawake wengine, drama za bi Sandra mbona utajuta kumjua Diamond , uzuri familia yake kwa unafiki namba moja, hawanaga urafiki na mtu , ndugu Yao atakapopenda na wao wapo
Akitoka Kenya anahamia Nigeria..
 
Ukweli mchungu
Warumi a.k.a Copy ya Mange Kimambi.

Yaani mtu unaumizwa na maisha binafsi ya Diamond wakati huo huo kuna ndugu yako wa karibu anayeishi maisha ya ovyo unashindwa kumshauri.

Umezungumzia unafki bila kujua hata wewe ni certified mnafki
 
ukitaka kujua kama mtu ana tabia ya kukana mtoto,

angalia his past relationships.

.ukiona mtu hajaoa wakati ana umri wa kuoa na ana watoto mahali ..

.awe ame wakana ama hajawakana

..kitendo cha kutotaka kujicommit

into relationship ni tatizo

...sipendi kuongea sana but mliozaa na Diamond,

mnisamehe

but the truth is,

malezi ya Diamond yamechangia yeye kuwaignore watoto wake..

..hajakulia kwenye secured home,baba mama watoto..

hajawahi kumuona baba yake akimuhudumia.

.huyu mtu haoni jukumu la kulea mtoto ni lake.#

.sababu hakuona baba yake akimfanyia hivyo...

...tatizo wanawake huwaga tunaona red flags

..ila tuna zignore..hoping someone will change..

kumbe tunajiingiza matatizoni tuu..

Well said kwa kweli
 
Binafsi couple ya Dai na tanasha naona tanasha kapotea sana. That innocent girl hakupaswa kuwa na daimond, angepaswa kuwa na mwanaume aliyetulia anayejua thamani ya upendo wa mwanamke. mond amepitia maisha mengi machafu ila good girls always live bad boys bitch!
 
Back
Top Bottom