Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Mheshimiwa Amina anatwambia kuwa yeye ni mama mwenye watoto watano lakini kaachika,hii kali kweli wakuu.

Mkuu hapo cha ajabu nini? Dini yake inamruhusu kuachika na mmewe kubeba mizigo mingine 4.
 
Katika hali isiyotarajiwa na Wabunge wengi na Watanzania kwa ujumla Mbunge wa Bunge la muungano pia mbunge wa Bunge maalum la Katiba AMINA ABDALLAH AMOUR; ametoa siri kwamba ameachika wakati akijinadi kwa wajumbe wa Bunge maalum wa Katiba akiomba ridhaa ya kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba leo tarehe 13.03.2014 saa1032jioni,baada ya jana bunge hilo maalum kumchagua MH. Sita kwa kura nyingi za ushindi. kweli nimeamingi uongozi unaweza kumfanya mtu akatoa siri zake zote pole sana MH.AMINA ABDALLAH AMOUR

Kuachika siyo siri mkuu. Amekuwa muwazi mno
 
Naona bunge limetulia hapa wakati kura zilizopigwa kwa siri zikiendelea kuhesabiwa ila hivi punde tu baada ya matokeo naamini ukumbi utageuka kua wa nyimbo na vigelegele kushangilia mshindi ambaye kwa hali ilivyo atakua Samia Suluhu, tuwemo
 
Mkuu mimi si mbunge na wala sijihusishi na mambo yenu ya kisiasa, vipi naruhusiwa kuku pm ili kukuhoji baadhi ya mambo?
Mkuu hata mimi si mwanasiasa ila napenda kufuatilia siasa na kupeana changamoto za kisiasa hata kadi ya chama chochote sina ila unaweza kupm tu hakuna shida.
 
Werema namwona akiwa anapiga soga na mwanasheria mkuu wa Zanzibar
 
Naona bunge limetulia hapa wakati kura zilizopigwa kwa siri zikiendelea kuhesabiwa ila hivi punde tu baada ya matokeo naamini ukumbi utageuka kua wa nyimbo na vigelegele kushangilia mshindi ambaye kwa hali ilivyo atakua Samia Suluhu, tuwemo
Pamoja sana mkuu. Tangu jana nilibashiri ushindi wa Samiha Suluhu. Na ndivyo itakavyokuwa
 
Mkuu hata mimi si mwanasiasa ila napenda kufuatilia siasa na kupeana changamoto za kisiasa hata kadi ya chama chochote sina ila unaweza kupm tu hakuna shida.

Mkuu hivi ni kweli kua kitu ambacho mwanasiasa anaweza kusema ukweli ni jina lake tu? Achilia mbali wanasiasa wetu wa tz ambao walio wengi hudanganya hata umri ukiachilia mbali majina?
 
Namuona mchungaji mtikila akitoka nje ya bunge. Labda anaenda kuchimba dawa
 
Huyu Sururu sio CUF?
...mkuu' una maanisha Suluhu?

MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member

First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu

Member Type: Constituency

Member Constituent: Makunduchi

Political Party: CCM

Office Location: P.O. Box 3*21, Dar Es Salaam

Office Phone: +255 774 010 2**
/+255 784 7177**

Ext.: Office Fax: Office E-mail:
*suluhu@parliament.go.tz

Member Status: Current Member

Date of Birth 27 January 1960

EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Open University Southern New
Hampshire, USA M.A 2004 2005 MASTERS DEGREE Manchester University, London

Postgraduate
1992 1994 POSTGRADUATE Institute of Development Management,
IDM, Mzumbe (Morogoro)

Advanced Diploma 1983 1986 ADV DIPLOMA National Institute of Public
Administration, Lahore Pakistan

Course 1989 1989 CERTIFICATE Institute of Management for Leaders,
Hyderabad, India

Management Course 1991 1991 CERTIFICATE Zanzibar Institute of Financial
Administration,
ZIFA Statistics 1983 1983 CERTIFICATE Ngambo

SecondarySchool, Unguja O-Level Education 1973 1975 SECONDARY Lumumba
Secondary School, Unguja O-Level Education 1976 1976 SECONDARY Chwaka
Primary School, Unguja Primary Education 1966 1968 PRIMARY
Ziwani Primary School, Pemba
Primary Education 1970 1971
PRIMARY Mahonda Primary School,
Unguja Primary Education 1972 1972 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From To

The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
Ministry of Tourism, Trade and
Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
Ministry of Labour, Gender
Development and Children Minister
2000 - 2005 Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999

Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988 World Food Programme, WFP -

Zanzibar Project Manager 1985 1997 Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986

POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja
Region 2009 Todate.
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Guardian (Warden) - North Pemba
Region 2004 - 2007 Chama Cha Mapinduzi, CCM

Member - National Executive
Committee (NEC) 2002 Todate
 
Pamoja sana mkuu
 
Namwona Shamsi Vuai Nahodha akimakinika kusoma nadhani waraka/nyaraka fulani
 
Back
Top Bottom