andishile
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,429
- 521
Hahaha!watakuwa wanapelekwa china kupakwa rangi nyeusi nywele!natania!Tangazo linalowahusu wenye nywele nyeupe. Lowasa, Lembeli, Owenya nk. Sijui wanaenda kujadili nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!watakuwa wanapelekwa china kupakwa rangi nyeusi nywele!natania!Tangazo linalowahusu wenye nywele nyeupe. Lowasa, Lembeli, Owenya nk. Sijui wanaenda kujadili nini
Mheshimiwa Amina anatwambia kuwa yeye ni mama mwenye watoto watano lakini kaachika,hii kali kweli wakuu.
Uliniona lini kalenga mkuu.Mkuu unazunguka muda si mrefu ulikuwa Kalenga sasa upo Dodoma
Katika hali isiyotarajiwa na Wabunge wengi na Watanzania kwa ujumla Mbunge wa Bunge la muungano pia mbunge wa Bunge maalum la Katiba AMINA ABDALLAH AMOUR; ametoa siri kwamba ameachika wakati akijinadi kwa wajumbe wa Bunge maalum wa Katiba akiomba ridhaa ya kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba leo tarehe 13.03.2014 saa1032jioni,baada ya jana bunge hilo maalum kumchagua MH. Sita kwa kura nyingi za ushindi. kweli nimeamingi uongozi unaweza kumfanya mtu akatoa siri zake zote pole sana MH.AMINA ABDALLAH AMOUR
Mkuu hata mimi si mwanasiasa ila napenda kufuatilia siasa na kupeana changamoto za kisiasa hata kadi ya chama chochote sina ila unaweza kupm tu hakuna shida.Mkuu mimi si mbunge na wala sijihusishi na mambo yenu ya kisiasa, vipi naruhusiwa kuku pm ili kukuhoji baadhi ya mambo?
Pamoja sana mkuu. Tangu jana nilibashiri ushindi wa Samiha Suluhu. Na ndivyo itakavyokuwaNaona bunge limetulia hapa wakati kura zilizopigwa kwa siri zikiendelea kuhesabiwa ila hivi punde tu baada ya matokeo naamini ukumbi utageuka kua wa nyimbo na vigelegele kushangilia mshindi ambaye kwa hali ilivyo atakua Samia Suluhu, tuwemo
Uliniona lini kalenga mkuu.
Mkuu hata mimi si mwanasiasa ila napenda kufuatilia siasa na kupeana changamoto za kisiasa hata kadi ya chama chochote sina ila unaweza kupm tu hakuna shida.
Namuona mchungaji mtikila akitoka nje ya bunge. Labda anaenda kuchimba dawa
...mkuu' una maanisha Suluhu?Huyu Sururu sio CUF?
Pamoja sana mkuu...mkuu' una maanisha Suluhu?
MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member
First Name: Samia
Middle Name: Hassan
Last Name: Suluhu
Member Type: Constituency
Member Constituent: Makunduchi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 3*21, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 774 010 2**
/+255 784 7177**
Ext.: Office Fax: Office E-mail:
*suluhu@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 January 1960
EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Open University Southern New
Hampshire, USA M.A 2004 2005 MASTERS DEGREE Manchester University, London
Postgraduate
1992 1994 POSTGRADUATE Institute of Development Management,
IDM, Mzumbe (Morogoro)
Advanced Diploma 1983 1986 ADV DIPLOMA National Institute of Public
Administration, Lahore Pakistan
Course 1989 1989 CERTIFICATE Institute of Management for Leaders,
Hyderabad, India
Management Course 1991 1991 CERTIFICATE Zanzibar Institute of Financial
Administration,
ZIFA Statistics 1983 1983 CERTIFICATE Ngambo
SecondarySchool, Unguja O-Level Education 1973 1975 SECONDARY Lumumba
Secondary School, Unguja O-Level Education 1976 1976 SECONDARY Chwaka
Primary School, Unguja Primary Education 1966 1968 PRIMARY
Ziwani Primary School, Pemba
Primary Education 1970 1971
PRIMARY Mahonda Primary School,
Unguja Primary Education 1972 1972 PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From To
The Parliament of Tanzania Member - Makunduchi Constituency 2010 2015
Ministry of Tourism, Trade and
Investment, Zanzibar Minister 2005 2010
Ministry of Labour, Gender
Development and Children Minister
2000 - 2005 Mwamvuli wa NGO Managing Director 1998 1999
Revolutionary Government of Zanzibar Planning Officer 1987 1988 World Food Programme, WFP -
Zanzibar Project Manager 1985 1997 Revolutionary Government of Zanzibar Typists (Typing Pool) 1977 1986
POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To Chama Cha Mapinduzi, CCM Guardian (Warden) - North Unguja
Region 2009 Todate.
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Guardian (Warden) - North Pemba
Region 2004 - 2007 Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - National Executive
Committee (NEC) 2002 Todate