Ingekuwa hivyo CCM wasingesubiri maridhiano. Wangetumia wingi wao kushinikiza ipigwe kura, wazi au siri, kuamua kama kura iwe ya wazi au ya siri. Kwamba wameendelea kushauriana na wachache hadi maridhiano inaonyesha kuwa tuko nao pamoja wala si shetani.
Sana mkuu. Ndo maana kipengele cha aina ya kura kimeondolewa kwenye rasimu ya kanuni za bunge maalum
NDIYOOO Support!!Bunge maalumu la katiba limegeuka kijiwe cha wahuni ambao wanaibua hoja za kijinga kabisa na kuanza kubishana!
Wengie mpaka wanatoa machozi eti wakililia kura ya wazi! huu ni uhuni uliopitiliza!
Watu mmepiga kura ya siri kwa miaka hamsini leo mnalia kuomba kura ya wazi! shame on you!
Nini ajenda yenu ya siri kwa hili?
Muda umefika tumeanza kuishiwa uvumilivu kwa upuuzi huu unaoendelea! Tutawashukia sasa!
Wadau, muda wa kulea wajinga umeshatutupa mkono! Sasa tuongee kwa viboko!
Shame!!!!!!!
Ingekuwa hivyo CCM wasingesubiri maridhiano. Wangetumia wingi wao kushinikiza ipigwe kura, wazi au siri, kuamua kama kura iwe ya wazi au ya siri. Kwamba wameendelea kushauriana na wachache hadi maridhiano inaonyesha kuwa tuko nao pamoja wala si shetani.
Wadau, samahani kwa kuchelewa kuwajuza kinachoendelea. Wqbunge wanaendelea kuingia ukumbini muda huu. Ila kasi si ya kuridhisha muda huu zikiwa zimebaki dakika tano tu