Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Bunge maalumu la katiba limegeuka kijiwe cha wahuni ambao wanaibua hoja za kijinga kabisa na kuanza kubishana!
Wengie mpaka wanatoa machozi eti wakililia kura ya wazi! huu ni uhuni uliopitiliza!

Watu mmepiga kura ya siri kwa miaka hamsini leo mnalia kuomba kura ya wazi! shame on you!
Nini ajenda yenu ya siri kwa hili?

Muda umefika tumeanza kuishiwa uvumilivu kwa upuuzi huu unaoendelea! Tutawashukia sasa!

Wadau, muda wa kulea wajinga umeshatutupa mkono! Sasa tuongee kwa viboko!

Shame!!!!!!!
 
Ingekuwa hivyo CCM wasingesubiri maridhiano. Wangetumia wingi wao kushinikiza ipigwe kura, wazi au siri, kuamua kama kura iwe ya wazi au ya siri. Kwamba wameendelea kushauriana na wachache hadi maridhiano inaonyesha kuwa tuko nao pamoja wala si shetani.

Kinachoonekana ni kuwa hata ndani ya CCM hakuna maridhiano na hasa upande wa pili wa Muungano ambao wameweka wazi mawazo yao. CCM imejizoeza kutumia watu kupitisha mambo yao na ikishayapata huwatupa kama karatasi zakufutia uchafu. Inefika wakati sasa wengi hawapo tayari kutumiwa. Mbaya zaidi kundi la wachache limejizoeza kuburuza wenzao na kutumia jina la chama kulinda maslahi yao. Wengi wamejifunza na sasa wanaonekana kujitambua.

CCM kama inajua ina wajumbe wengi kwanini wanakataa kura ya siri? Definitely ni kuwa huo wingi unaoupigia chapuo haupo bali katika hao wengi ni wachache wanaotaka kutumia wengi kwafaida yao hao wachache na kutumia wengine kupata hayo maslahi
 
Sana mkuu. Ndo maana kipengele cha aina ya kura kimeondolewa kwenye rasimu ya kanuni za bunge maalum

Sasa maamuzi watafikia vipi?..au hawatapiga kura kabisa? Mi naona kama wamehairisha tatizo kwa muda tu!
 
Bunge maalumu la katiba limegeuka kijiwe cha wahuni ambao wanaibua hoja za kijinga kabisa na kuanza kubishana!
Wengie mpaka wanatoa machozi eti wakililia kura ya wazi! huu ni uhuni uliopitiliza!

Watu mmepiga kura ya siri kwa miaka hamsini leo mnalia kuomba kura ya wazi! shame on you!
Nini ajenda yenu ya siri kwa hili?

Muda umefika tumeanza kuishiwa uvumilivu kwa upuuzi huu unaoendelea! Tutawashukia sasa!

Wadau, muda wa kulea wajinga umeshatutupa mkono! Sasa tuongee kwa viboko!

Shame!!!!!!!
NDIYOOO Support!!
Tutaanzia na hawa wajinga wa JF wanaounga mkono upumbavu unaoturudisha utumwani!! Kura isiyoruhusu mawazo binafsi!! Kura ya utumwa!! kura ya wazi!!
 
Wadau, samahani kwa kuchelewa kuwajuza kinachoendelea. Wqbunge wanaendelea kuingia ukumbini muda huu. Ila kasi si ya kuridhisha muda huu zikiwa zimebaki dakika tano tu
 
Ingekuwa hivyo CCM wasingesubiri maridhiano. Wangetumia wingi wao kushinikiza ipigwe kura, wazi au siri, kuamua kama kura iwe ya wazi au ya siri. Kwamba wameendelea kushauriana na wachache hadi maridhiano inaonyesha kuwa tuko nao pamoja wala si shetani.

Ufafanuzi hapo kwenye red mkuu, maridhiano yapi yaliyofanyika kati ya Watanzania na ccm? Mbona swala la kura za aina gani zitumike katika kufanya maamuzi bado ni kitendawili ?

Mi ndio maana nikasema ccm sio Watanzania wenzetu bali ni aina mpya ya shetani aishie Tanzania.

Birds of the same feather fly together.
 
hoja za CCM zina walakini na ndiyo maana wanajua fika ikiwa kura za siri zitauhusiwa basi hoja zote za CCM kuhusu katiba mpya zitazikwa rasmi.

Na ndiyo maana watatumia kila aina ya nguvu walizonazo ndani ya bunge hilo kuhakikisha hoja ya kura ya wazi inapita ili kuwadhibiti wanachama wao wanaodhani wana nguvu kuliko chama chao. Ingawa jambo hili si dogo maana hali ndani ya Bunge ni tete - na nidhamu ya woga kwa makada hawa wa CCM walioyokuwayo miaka nenda rudi sasa inaanza kuliwa na mchwa.
 
Wadau, samahani kwa kuchelewa kuwajuza kinachoendelea. Wqbunge wanaendelea kuingia ukumbini muda huu. Ila kasi si ya kuridhisha muda huu zikiwa zimebaki dakika tano tu

inawezekana wengine hawataki kanuni ziridhiwe ili waendelee kuitana mabwege, na watoto wadogo na makubwa jinga. Kwa kweli wananchi tumeanza kuchoka
 
Taswira ya Ukumbi wa Bunge dakika tano kabla ya muda uliopangwa

image.jpg
 
naunga mkono wafuatao wacharazwe viboko
1. ole sendeka
2. profesa mchumia tumbo ana tibaijuka
3, mnafiki sana lukuvi

4 chilolo

5. the list is long bila kumsahaau migiro
 
Mwenyekiti ameingia ukumbini na sasa baba Askofu Donald Mtetemela anasoma Dua
 
hoja za CCM zina walakini na ndiyo maana wanajua fika ikiwa kura za siri zitauhusiwa basi hoja zote za CCM kuhusu katiba mpya zitazikwa rasmi.

Na ndiyo maana watatumia kila aina ya nguvu walizonazo ndani ya bunge hilo kuhakikisha hoja ya kura ya wazi inapita ili kuwadhibiti wanachama wao wanaodhani wana busara kuliko chama chao. Ingawa jambo hili si dogo maana inabidi CCM watumie busara zaidi badala ya kuwatisha wanachama wao. - tunavyoona sasa ile nidhamu ambayo wengine tunaona ilikuwa ya woga kwa makada hawa wa CCM walioyokuwayo miaka nenda rudi sasa inaanza kuliwa na mchwa taratibu.
 
Askofu amemaliza kusoma dua na sasa ni zamu ya Sheikh Norman Jongo
 
CCM si wanajidai kutumia uwingi wao,vp waogope kura ya siri?#TeamKuraWazi#
 
Ninaanza kuamini kuwa CCM haikuwahi kukubali vyama vingi na wala Tanzania hatuna vyama vingi bali system imetengeneza placebos za vyama vingi na ss wengine tukaaminishwa ndivyo! Kama ambavyo tunaaminishwa sasa kuwa tunatengeneza katiba mpya kumbe tumetengenezewa placebo nyingine!

Mmh well, tupo ambao hatuamini kabisa katika hizi placebos hili ndilo tatizo, hivyo hivi vidonge mnavyotudanganyia haviondoi maumivu yetu bali ndivyo vinazidisha..... Guess what! Haya maumivu makali msipoangalia yatatuondoa akili na kutufanya tufanye mambo ambayo macho yenu hayataamini yanawezafanywa na binadamu......

Uvumilivu wangu umefikia kikomo!
 
Wabunge wengi walikuwa nje wakati dua inasomwa. Na sasa wanaingia kwa wingi
 
Back
Top Bottom