Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Hivi TBC haipatikani Online? wengine tuko mbali na TV
 
Fomu za makamu zitachukuliwa baada ya kupata M/kiti.

"jambo hili linazingatia jinsia"
 
Haaahaaa mtikila kagoma kusimama! Huyu jamaa mtata sana
vp walitakiwa kusimama wote? au ni yeye tu ameitwa na kificho asimame? Mtikila alisema anakwenda mahakamani kushitaki mchakato wa katiba, lakini tangu achagulie kuwa mjumbe wa hili bunge naona kanyamaza kimya
 
Katibu! Mwisho wa shughuli za leo.
 
Asante sana mungu,a step forward!kesho uchaguzi wa mwenyekiti wa bunge maalum!
 
Wenye nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wanatakiwa wakachukue fomu leo kwenye ofisi za makatibu. Fomu hizo zirejeshwe kesho.
 
Kwa mujibu wa katibu wa bunge la leo, shughuli za leo zimefikia tamati
 
Uchaguzi wa mwenyekiti utafanyika kesho saa kumi jioni mzee wa spidi na viwango atachaguliwa rasmi make inaonekana hana mpinzani.

sasa bunge limeahilishwa mpaka kesho saa kumi wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa kudumu.
 
...shughuli za Bunge Maalum zinasitishwa mpaka hadi kesho saa 10 jioni.
 
Wadau, niwashukuru tena kwa mara nyingine kwa ushirikiano mnaoutoa. Pale penye tatizo tuelezane bayana. Tukutane hapo kesho zaa 10 jioni tutakapowaletea yatakayojiri kwenye uchaguzi huo wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum. Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom