Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mtikila awe mwenyekiti wa bunge hili!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho tunachagua mwenyekiti wa kudumu wakuu twendeni pamoja sasa kazi inaanza kwa kasi kubwa.
vp walitakiwa kusimama wote? au ni yeye tu ameitwa na kificho asimame? Mtikila alisema anakwenda mahakamani kushitaki mchakato wa katiba, lakini tangu achagulie kuwa mjumbe wa hili bunge naona kanyamaza kimyaHaaahaaa mtikila kagoma kusimama! Huyu jamaa mtata sana
Hivi TBC haipatikani Online? wengine tuko mbali na TV
Hivi TBC haipatikani Online? wengine tuko mbali na TV
vp walitakiwa kusimama wote? au ni yeye tu ameitwa na kificho asimame? Mtikila alisema anakwenda mahakamani kushitaki mchakato