Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Ni kweli, mwenyekiti amekuwa akiwapa kuzungumza walewale, Lipumba, Mbowe, pinda, Ana Abdallah, mbatia,Werema, Lukuvi, wengine hawapi kabisaaa... HATENDI HAKI, HIVI KAMA LEO KAAHIRISHA BUNGE SAA 4 SI ANGEWAPA WAJUMBE NAFASI HATA MPAKA SAA 5.

NAsema hafai kabisaaa...

Porojo la nini wakati nafasi zimetolewa kutokana na ushiriki wa makundi yote bungeni? kila anayesimama anafurahia kanuni kwa nini apoteze muda? pale siyo nyumbani kwake kama ainuke asimame apige kelele tu kuna utaratibu wake., kama ana hoja angepeleka jina lake kwa mwenyekiti wa muda juu ya kanuni anayoibishania tokea juzi juzi hiyo nafasi ilikuwa huria kabisa.,
 
Mtikila anaweza kwenda mahakamani kuzuia huuu mchakato yule na mahakama ni kama uji na mgonjwa
 
Ni kwamba hiyo kura ya wazi bado wanaifanya ni siri.
 
Kificho ni mwenyekiti pekee aliyeongoza semina ya wabunge bila kanuni na amefaulu
 
wametuacha gizani hatuelewi huo uchaguzi wa kesho utafanyika kwamtindo upi ?
 
mwenyekiti anawapa nafasi sana wanasiasa, kama bunge lao wakati kuna makundi mbalimbali. bntutaendelea kuona meni kwenye bunge hilki la katiba ya mipasho.

mambo mengine ukiongea utaonekana taahira sn., utamlalamikiaje Mwenyekiti wa muda wakati mbunge yeyote kama ana hoja ya msingi hupeleka jina lake kwa mwenyekiti na mwenyekiti humuita ili ailete apatiwe majibu., yeye kama mwenyekiti hakuwa na uwezo kumchagua tu mtu pale ni bungeni kuna utaratibu wake., Kificho ni mfano mzuri sana na ameonyesha namna gani Spika anatakiwa awe, huyu mzee hakasiriki wala kughumiwa kama ilivyokuwa kwa dada yenu makinda, akishkerwa na bwana wake nyumbani humalizia hasira zake kwa Tundu Lissu na upinzani.,
 
Wadau leo katika kikao cha bunge la katiba asubuhi, wakati mwenyekiti wa CDM alipopewa nafasi ya kuchangia, kwanza ameunga hoja mkono upitishwaji wa Kanuni na akawashukuru mashehe na ma askofu kwa jinsi walivyo weza kuliombea bunge na hatimaye mioyo iliyo kuwa migumu imelainika. tukumbuke kuwa Mbowe ni mjumbe kati ya wale wanao unda kamati ya mashauriano na maridhiano. Je! kwa kusema mioyo iliyokuwa migumu imelainika inawezekana CCM amekubali kura ya SIRI?
 
Pamoja sana Mkuu. Hakika mmeufanya mtandao huu kuwa mbele ya vyanzo vingine vya habari hapa nchini katika suala hili la Katiba mpya. Yaani hata mtu asipoangalia TV au kusikiliza Radio, anapata kile kinachojiri kwa wakati. Hongereni sana wakuu
hii ndo JAMII FORUM hata kitu kikitokea kanisani au msikitini kimbilia JF haraka unaweza kukikuta muda huo
 
Jussa kamsifia Lissu kwakuwa mikakati ya ccm na wanzanzibar kuelekea muungano usio wa uwiano unapata dalili za kufanikiwa. huko mwisho baada ya kupitisha vifungu visivyo na migogoro, ndipo ccm na wanzanzibar watakapo kuja na kura ya wazi, atakaye toka wakati huo itakuwa haina impact.
 
Nimekupata mkuu, kwa jinsi nilivyo kuelewa utadhani nami nilikua bungeni au nami nilikua nafuatilia kwenye tv. Pamoja mzeya.
 
Hakikisha baada ya mjadala kuanza nchi iliyopotea inapatikana make kuna wawakilishi wa zanzibar na Tanzania, wakati tukisema Tanzania na zanzibar imo lakini tukisema zanzibar watanganyika hatumo huku kundi moja likishikilia msimamo kuwa kuhusu muungano usiguswe. Sasa hapo kuna kuandika kitu kipya? au mnataka tudai kwa nguvu kama nchi nyingine zinavyo fanya? so please watanganyika tunataka tutambulike sasa kama kuna vitu viliingia kwenye muungano kinyemera vitapigwa chini tu. La sivyo tutachapana viboko kukomesha usaliti.
 
Back
Top Bottom