mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Ni kweli, mwenyekiti amekuwa akiwapa kuzungumza walewale, Lipumba, Mbowe, pinda, Ana Abdallah, mbatia,Werema, Lukuvi, wengine hawapi kabisaaa... HATENDI HAKI, HIVI KAMA LEO KAAHIRISHA BUNGE SAA 4 SI ANGEWAPA WAJUMBE NAFASI HATA MPAKA SAA 5.
NAsema hafai kabisaaa...
Porojo la nini wakati nafasi zimetolewa kutokana na ushiriki wa makundi yote bungeni? kila anayesimama anafurahia kanuni kwa nini apoteze muda? pale siyo nyumbani kwake kama ainuke asimame apige kelele tu kuna utaratibu wake., kama ana hoja angepeleka jina lake kwa mwenyekiti wa muda juu ya kanuni anayoibishania tokea juzi juzi hiyo nafasi ilikuwa huria kabisa.,