la kwanza ni lile la twiga kupanda ndege bila kuonekana na sasa lingine la pili ni kipiga kura kokote duniani wakati hata uraia wa inchi mbili hawataki hii ndo tanzania yetu ya amani
Dah.mahakama ya kazi inaenda kuchinjiwa maca!tena itakua siku ya kuchinja.
Nadhani ni mabadiliko mazuri ili kuokoa muda
Leo ktk bunge la kihuni, sitta-mbali na kuchakachua kanuni amesema(si nukuu); Haitakuwa na maana kwa muda walioutumia wajumbe kujadili na pesa walizotumia halafu wakapiga kura ya 'hapana'.
Kwamba wasijali hii itakuwa katiba bora sana na ya mfano Africa.
This is really brain washing !
Ni kweli Mkuu. Mwenyekiti Sitta yupo makini sana kwa leo. Anajaribumkuwaweka sawa wabunge wqnapoteleza. Anamhoji Arfi kama ni sahihi kura zipigwe zaidi ya siku 300 ilhali fedha za walipa kodi zinateketea. Anasema kuwa Arfi anaheshimika kitaifa hivyo ni vema akatunza heshima aliyo nayo
Kama ni hivyo maana ya akidi ni nini? kuna umuhimu gani wa kuwa na akidi ilihali popote ulipo unaweza kushiriki? Basi tuwaruhusu wajumbe wa BMK hiyo siku ya upigaji kura wakafanye shughuli nyingine za kujenga taifa, huko jengoni awepo sitta na makatibu wake tu wakusanye kura kwa mtandao basi.
Naam, tunataka Katiba, wanaoandamana wao waendelee tu kuutafuta umaarufu.
kwenda kuhiji siyo kutafuta laana mkuu, labda kama haujui thamani ya kuhiji. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum wao ndiyo wameomba waruhusiwe kupiga kura wakiwa huko, tusiwapotoshe wananchi.