Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

Hata angekuwa CDM angeyasema tu Kitila siyo aina ya wale jamaa wa ndiyo mzee kwa kila kitu kama kina Mnyika na wenzake
 
Mkuu, wabunge waliobaki bungeni wapo makini sana. Hakika wana dhamira njema kwa watanzania kwa vile na wao ni sehemu ya raia wa Tanzania
wangekuwa naniana wasingebadli kanuni na sharia ili kufosi akidi ili kupitisha rasimu!! katiba ili iheshimiwe na iwe nauhali sharti makundi yote yaridhie
 
Waache wapoteze muda tu wasubiri kupelekwa the heague, walafi sanaaaana ccm
 
Kweli huyu jamaa ni mnafifiki na hawa ndio walikuwa wanakiyumbisha chama bora katolewa mapemaaaa
 
Kweli huyu jamaa ni mnafifiki na hawa ndio walikuwa wanakiyumbisha chama bora katolewa mapemaaaa

hapa ndipo ninapofika CHADEMA siwaelewi kabisaaaaa, yaani KITILA Mkumbo ni mbaya kwa sababu yuko nje ya CHADEMA? na je angeayasema hayo akiwa ndani ya CHADEMA mngemuita nani?
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni, Pandu Ameir Kificho anamuita mjumbe wa kamati hiyo Amon Mpanju kuwasilisha mabadiliko yanayotarajiwa kufanywa. Mpanju anaanza kwa kutoa shukran kwa mwenyekiti wake kwa kumpa fursa yamkutosha ndani ya kamati hiyo bila ya kujali hali yake ya ulemavu. Kwa wale wasiomjua Amon Mpanju, ni kwamba huyu ni mlemavu wa kutoona lakini ni mtu makini sana.

Vipi Tanganyika yetu ndiyo mmeipeleka peponi moja kwa moja?.
 
we hii filam ikikamilika waambie wailete kariakoo kwa wasambazaji wa kidos sie tutanunua2.
 
Nilimsikiliza kitila Mkumbo(prof) hakusema kama huyu mjumbe alivyomnukuu...

Kitila alikuwa akizungumzia kuhusu nini kilifikiwa kati ya TCD na Rais...

Alichozungumza ni kuwa kila wakati wapinzani wakionana na Rais hakuna cha maana kinachobadilika...

Nawakubali UKAWA namkubali Kitila Mkumbo
Namkubali Zitto...

Na watu wakumbuke waliopo bungeni wengi wao ni wanafiki TU
 
Asante mleta mada ILA mtahangaikia sana THELUTHI MBILI ya Zenj bila mafanikio...
Na hata mbunge akipiga kura kwa sura wakati sheria ya Mabadiriko ya Katiba sura ya 83 inataka kura kupigwa kwa kifungu yaani "the Provisions of the proposed constitution" na siyo "the Chapters" of the proposed constitution ...hapa napo mzee Sitta atakwama
 
Leo ktk bunge la kihuni, sitta-mbali na kuchakachua kanuni amesema(si nukuu); Haitakuwa na maana kwa muda walioutumia wajumbe kujadili na pesa walizotumia halafu wakapiga kura ya 'hapana'.
Kwamba wasijali hii itakuwa katiba bora sana na ya mfano Africa.
This is really brain washing !
 
Kweli huyu jamaa ni mnafifiki na hawa ndio walikuwa wanakiyumbisha chama bora katolewa mapemaaaa

Mzee mbona mwepesi hivi kupelekwa na propaganda...

Kitila Mkumbo hajazungumza kitu kama hicho(amelishwa maneno)

Acha uboya dogo waliopo bungeni usiwaamini hata sekunde moja
 
Back
Top Bottom