Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

Watanzania ni wavumilivu sana..Yani huu uhuni ungekuwa unafanywa kwenye Nchi za Wenye Macho,Masikio na Akili sijui hali ingekuwaje..

Huu upigaji kura kwa njia ya Mitandao daah!!

Warioba alitoa tahadhari Wakamuona hana akili..

Tunaisubiri hiyo yenu CCM ..Malizeni Halafu tukutane Kitaa..Tutaheshimiana tu.
 
uhuni ni ule unaofanywa na CHADEMA mitaani mkuu kuwahamasisha vijana kuandamana wakati Mwenyekiti anakula bata BONDENI
 
Mkuu, kunitaka nimfanyie ushauri mtu mwingine ni jambo la kushangaza. Umeshindwaje kulibeba jukumu hilo kwa kuwa wewe ndiye umezozana naye? Anyway mimi naendelea kusoma updates tu, hayo mengine sina utaalam nayo.
Mkuu, nimekuomba uifanye wewe kazi hiyo kutokana na umahiri ulionao na uvumilivu wako. Hakika wewe ni kifani cha pekee. Tangu tumeanza mchakato huu hakika umekuwa kifani chema.mpole lakini na nimekubali ushauri wako. Nikuhakikishie kuwa mimi na Bramo hatuna ugomvi wowote. Ni tofauti tu ya mtazamo. Wote tupo hapa kuwahabarisha watanzania na wakati huo tunajenga mtandao wetu pendwa wa JF.
 
natizama bunge la katiba wajumbe waliobaki wanataka kura mtu apigie hata akiwa ulaya, marekani, india popote duniani lakini hata akiwa mbeya hospitali, arusha mbuga za serengeti ukiliangalia hili vizuri utagundua ni 2/3 inatafutwa.
Je nani atalinda kura hizo zifike kama zilivyo andikwa na je ni kina nani watazipiga watakua kweli wajumbe wa bmk.
Na cha pili kilichojitokeza ni kupigia kura kila kipengele cha yes or no. je vingi ikiwa na no siku ziongezwe au watafanyaje??

Wenzao wamesepa dakika za mwisho ili lukwrpa lawama na laana, lakini Wao hawakubali, wameamua kuwa nao kwa kuwafuata hulo huko ili Kama ni maana au lawama, basi na wagawane.
 
Mkuu inadhihirisha ule utafiti unaoonesha kuwa Tz wananchi wake IQ ziko chini. You can imagine hao wabunge kama ndio sample ya watz
umeona mkuu, watu wanalalamika mtaani vibaya sana, maisha magumu, haki haipatikani kwa sababu ya rushwa, lakini wanaowatungia sheria mama wanawatukana! sijui watanzania wakoje!
 
Makonda amemshangaa sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, FREEMAN AIKAELI MBOWE kuhamasisha vijana kuingia barabarani huku yeye akila Bata Afrika Kusini
 
Hivi kanuni ya AKIDI iliwekwa ya nini?! kama mbunge aliyeko nje Bunge anaruhusiwa kupiga kura, Maana yake ni kwamba mbunge aliyeko nje ya Bunge pia anaruhusiwa kushiriki mijadala ya bunge, hivyo KANUNI ya akidi, kuwa bunge haliweze kuendelea kama wajumbe hawafikii nusu haina maana tena.

Huyu Sitta inaelekea AMEKUBUHU katika UCHAKACHUAJI. Kilichomshinda KUCHAKACHUA ni JINSIA yake tu, kutoka ME kwenda KE.
Nadhani pia watalipwa POSHO YA KIKAO kwa kuwa watakuwa wamehudhuria kikao kwa remote!!

Sita kiboko yake Yusufu Makamba aliyebadili kanuni za uchaguzi ndani ya CCM kuwa zamu ya mgombea uspika kupitia CCM mwenye jinsia ya KE!!!!
 
Kificho amejibu baadhi ya hoja zilizojitokeza wakati wa mjadala. Kuhusu jinsi ya kupiga kura, anasema kuwa msingi mkuu ni wa kupiga kura ama ya wazi au ya siri. Anasema kuwa kwa walio ndani ya ukumbi ambao watapiga kura ya wazi. Wataitwa majina na watataja inara ambazo wanasema NDIYO na zile ambazo wanasema HAPANA. Kwa wale wa kura ya siri, watapewa karatasi ambazo watajaza ibara watakazounga mkono na zile wanazokataa kuhusu wale watakaokuwa nje ya bunge, watapelekewa karatasi ya aina mbili, yaani moja itaandikwa SIRI na nyingine itaandikwa WAZI. Wabunge watachagua aina ya karatasi. Kwa wale watakaochagua ya WAZI watajaza huko iliko na itqkuja kusomwa bungeni kwa kadri watakavyojaza wabunge wahusika
 
Wenzao wamesepa dakika za mwisho ili lukwrpa lawama na laana, lakini Wao hawakubali, wameamua kuwa nao kwa kuwafuata hulo huko ili Kama ni maana au lawama, basi na wagawane.

kwenda kuhiji siyo kutafuta laana mkuu, labda kama haujui thamani ya kuhiji. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum wao ndiyo wameomba waruhusiwe kupiga kura wakiwa huko, tusiwapotoshe wananchi.
 
Mkusanyiko huo unaoitwa Bunge maalum la katiba hauishi mambo ya kustajabisha. Kama katika kutekeleza msemo kuwa kila siku kuna kituko kitatokea Barani Afrika.

Wakati Sitta na wana mkutano wake wanafanya mabadiliko ya kanuni yao ya kupiga kura,haileweki sababu zao za kusahau kununi nyingine walizopitisha katika kuliendesha Bunge hilo ikiwa ni pamoja na inayozuia kulipa posho kwa wajumbe wasiokuwepo bungeni.

sasa tunaweza kuona kuwa wabung wote watalipwa posho zao bila kujali kama wako bungeni au wameshiriki kwa kufuatilia kile ambacho wanataka kutolea mamuzi kwa maana ya kupigia kura.

Ninachokiona hapa ni kuwa huu ni mkakati maalum wa kuhakikisa kuwa theluthi mbili zinapatikana. Kwamba wajumbe wasiokuwepo waashwishiwa kwa njia yoyote hata kamani Rushwa ili waunge mkono rasimu ya Sitt. Makati huu unawaweza ukawahusisha hata wajumbe wa Ukawaambao wamekataa kuhudhuria mkutano unaoendelea kwani watweza kupig simu kwa njia ya simu au Mtandao ambapo hakuna mtu anayeweza kufahamu kwa urahisi nani amepiga kura.

kwa kuwa Sita umeamua kutengeneza historia, tunaomba uende mbele zaidi uiishie kwenye katiba mpya pekee, kwani tunahitaji mtusaidie hata katiba upigaji kura kwenye chaguzi nyingine. Mathalani kwa utaratibu uliopo hivi sasa mpiga kura haezi kutekeleza haki yake hiyo iwapo atkuwa nje ya eneo ambako amejiandikisha!. Umejiandikisha Kibodo lakini wakati wa kupiga kura ukawa Ngara hautaweza kupiga kura? Umejiandikisha Mwanza mjini na wakati wa kupiga kura ukawa Nyakato umbali wa kilomita tano, huwezi kupiga kura!vivyo hivyo na maeeo mengine hata na walio nje ya nchi.

Unajilazimisha kutoelewa wakati vitu vinaeleweka,,idadi ya wajumbe ipo katika mahesabu kila mjumbe ana maana kubwa sana,Bunge maalumu la katiba ni bunge maalumu na kura ya mjumbe ni kura maalumu na ana was bu wa kupiga kura,sijui umesema mambo ya kulipa posho kwa wanaokuwa bungeni tuu afu umesema wanaokuwa nje ya bunge kwa nini wapige kura,
Kumbuka mbunge halali ni yule aliejiandikisha na kuhudhulia mijadala mbalimbali,huyo akiwa nje ya bunge ni mjumbe halali na anapaswa kulipwa posho yake na ana haki na wajibu wa kupiga kura popote alipo.
 
Wajumbe wamehojiwa na Mwenyekiti SITTA na wote wamekubali kanuni zibadilishwe
 
Unajilazimisha kutoelewa wakati vitu vinaeleweka,,idadi ya wajumbe ipo katika mahesabu kila mjumbe ana maana kubwa sana,Bunge maalumu la katiba ni bunge maalumu na kura ya mjumbe ni kura maalumu na ana was bu wa kupiga kura,sijui umesema mambo ya kulipa posho kwa wanaokuwa bungeni tuu afu umesema wanaokuwa nje ya bunge kwa nini wapige kura,
Kumbuka mbunge halali ni yule aliejiandikisha na kuhudhulia mijadala mbalimbali,huyo akiwa nje ya bunge ni mjumbe halali na anapaswa kulipwa posho yake na ana haki na wajibu wa kupiga kura popote alipo.
johnmashilatu yuko mapumziko baada ya kazi kubwa ya kuandamana mwache kiongozi.
 
Nadhani Makamba alikuwa anamfahamu Sita kuliko Watanzania wengi. Huyu Sita is a curse to our nation. Inawezekana vipi mtu wa hovyo kabisa kama Sita kuna wakati fulani alipata heshima na sifa?
 
Kwahiyo ina maana hata swahiba wake ZZK aliishiwa hoja?
 
uhuni ni ule unaofanywa na CHADEMA mitaani mkuu kuwahamasisha vijana kuandamana wakati Mwenyekiti anakula bata BONDENI

Mkuu Cybercrime umesahau aliyevuruga mchakato yuko USA anakula bata ?? Tena kwa kodi zetu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom