Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

Nilikuwa naangalia bunge la mabadiliko ya katiba wakati wanaendelea kutoa michango yao kuhusiana na kubadilisha kanuni za upigaji kura ili wabadili kanuni,
wajumbe hawa wametoa kauli hizi ambazo ni tata kweli na kwa kuwa ni viongozi kwma!wenye nyadhifa walizoshika huwezi kuamini walichose

1. Paul Makonda, anasema-Mbowe kaenda South Africa kawaacha vijana ambao anawapa viroba waandamane mitaani, ameenda kupumzika kwenye hotel ya dola mia 700 kwa siku hukuanaacha vijana wakipigwa na polisi, kama huyu jamaa anayosema ni yakweli ni kwanini wanaotumia viroba wasiwakamate, mimi naona amewatukana watanzania kuwa wanakunywa viroba.

2. Pindi Chana-Anaomba sheria ipitishwe kwa sababu kama mgonjwa yupo India, Apolo hospital, wasipopitisha watamkoshasha haki, nikajiuliza swali, wenyewe si ndo wamejikosesha haki badala ya kujenga hospitali nzuri hapa wamejisahau, wameshindwa kujenga hospitali hapa hapa nchini!
 
Samweli Sita leo anaongozq bunge la Katiba kubadili kanuni za bunge ili hata kama mjumbe yuko nje ya nchi apige kura hii maana yake ni kwamba si lazima mjumbe ahudhurie vikao vya bunge anaweza kukaa nyumbani ana tuma sms ,

Hivi kanuni ya AKIDI iliwekwa ya nini?! kama mbunge aliyeko nje Bunge anaruhusiwa kupiga kura, Maana yake ni kwamba mbunge aliyeko nje ya Bunge pia anaruhusiwa kushiriki mijadala ya bunge, hivyo KANUNI ya akidi, kuwa bunge haliweze kuendelea kama wajumbe hawafikii nusu haina maana tena.

Huyu Sitta inaelekea AMEKUBUHU katika UCHAKACHUAJI. Kilichomshinda KUCHAKACHUA ni JINSIA yake tu, kutoka ME kwenda KE.
 
Wajumbe wote wana haki ya kupiga popote pale wawapo, hii ni haki yao ya kimsingi. Hivi ubaya upo wapi hata kama watapiga kura kwa SMS, Skype, WhatsApp!!!
 
Pamoja sana Mkuu. Hakika una busara ya hali ya juu sana. Nakuomba ukamfanyie Ushauri Nasaha mkuu Bramo ili mapepo yake yatulie

Mkuu, kunitaka nimfanyie ushauri mtu mwingine ni jambo la kushangaza. Umeshindwaje kulibeba jukumu hilo kwa kuwa wewe ndiye umezozana naye? Anyway mimi naendelea kusoma updates tu, hayo mengine sina utaalam nayo.
 
Hawa magamba ni wapuuzi sana. Mbona wakati wanatunga kanuni kwa siku 68 hawakujali upotevu wa muda iweje sasa waje na hoja ya kuchakachua kura kwa kuwataka watu walio nje ya bunge kupiga kura? hii ni mbinu ya kibwege ya kutaka kuchakachua kura baada ya kuona kwamba hawana pa kutokea. wapuuzi wakubwa!
 
Hawa magamba ni wapuuzi sana. Mbona wakati wanatunga kanuni kwa siku 68 hawakujali upotevu wa muda iweje sasa waje na hoja ya kuchakachua kura kwa kuwataka watu walio nje ya bunge kupiga kura? hii ni mbinu ya kibwege ya kutaka kuchakachua kura baada ya kuona kwamba hawana pa kutokea. wapuuzi wakubwa!

ccm wanaitakia mema kweli nchi hi?hii itakua ya kwanza kushuhudia mtu akipiga kura akiwa nje ya bunge!
 
Wajumbe wote wana haki ya kupiga popote pale wawapo, hii ni haki yao ya kimsingi. Hivi ubaya upo wapi hata kama watapiga kura kwa SMS, Skype, WhatsApp!!!

Na ile sheria ya kuwa mjumbe asiyekuwa bungeni halipwi utaitenganisha vipi na kituko hiki cha mwaka huu hasa hasa tarehe hii ya mwezi wa tisa!! CCM ni kama kimba!!
 
Nchi hii! hawa watawala ni reflection ya jamii tuliyonayo. Hata Hitler katika udikteta wake alikuwa na nafuu kuliko huu wa CCM, I can say.
 
Costantine Kitanda Anaanza kwa kunukuu msemo usemao kuwa "Criticize where criticism is warranted". Anaunga mkono mabadiliko haya ili kuwatendea haki wale walio nje ya bunge. Anawashangaa wale ambao wanataka kukwamisha mchakato huu ilhali upo hatua za mwisho. Anawashangaa pia wale wanaotaka kugeuza nchi hii kuwa ya maandamano na anawaita kuwa ni watu walioishiwa hoja. Anasema kuwa waliosusa bunge hili ni waoga na kwamba yeye yupo bungeni kutetea msimamo wake. Kwamba ijapokuwa anapinga muundo wa serikali Mbili na Tatu, ameamua kuendelea na bunge ili kutetea msimamo wake
 
Na ile sheria ya kuwa mjumbe asiyekuwa bungeni halipwi utaitenganisha vipi na kituko hiki cha mwaka huu hasa hasa tarehe hii ya mwezi wa tisa!! CCM ni kama kimba!!

Una uhakika kuwa wajumbe wote wasiohudhuria bungeni hawalipwi?
 
"Criticise where criticism is warranted" Akitanda amesema haya na akamquote Prof. Kitila Mkumbo akisema "waliotoka ndani ya bunge (ukawa) waliishiwa hoja". Nimejiuliza ya kwamba je, kama kitila angeendelea kua kada wa chadema angeongea maneno haya? Mimi nadhani hapa amekua mnafiki in a context of conceptual meaning lakini huenda thematically akawa na point ya msingi ingawa wadhungu wanasema kwamba "not every non sense is a non sense" kwa maana ya kwamba si kila upuuzi ni upuuzi mtupu. Lakini kwanini ayaseme haya wakati akiwa nje ya vazi la chadema?
 
Mkuu inadhihirisha ule utafiti unaoonesha kuwa Tz wananchi wake IQ ziko chini. You can imagine hao wabunge kama ndio sample ya watz
 
Wabunge wamemaliza kutoa michango yao na Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni anahitimisha mjadala
 
Uyo makonda ndo nani? halafu nilisikia sehemu wanamsema kuwa ni shoga
 
Mzee Kificho anasema kuwa wabunge waliosusia hawana haki ya kupiga kura kwa vile wametoka nje ya ukumbi wa bunge bila ya ruhusa
 
Back
Top Bottom