Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,780
- Thread starter
- #41
Sasa ni zamu ya Said Arfi. Anasema kuwa yeye haungi mkono mabadiliko ya kanuni. Anasema kuwa haoni sababu za msingi zamkuwataka wajumbe walio nje ya bunge kupiga kura. Anasema kuwa utaratibu uliopo dunia nzima kuwa ni wabunge waliopo ndani ya bunge tu ndio wanapiga kura. Anasema kuwa hakuna hakika kuwa ni wabunge watakaopiga kura.