Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la Katiba anataka kuhairisha kikao kwani rasimu haijatimia, wajumbe wengi hadi ilipofika saa kumi kamili viti vingi vilikuwa wazi
habari za Yanga zimetoka wapi tena!!!!!!!!!!!!!!!!
Mh! Kazi ipo? Kwa hiyo mkwanja wanachukua au?
Mkuu, James Mbatia alikuwa anaomba muongozo kuwa mpaka sasa hawajagawiwa kanuni. Hivyo akawa anahoji wataridhia vipi azimio la Kanuni wakati kanuni zenyewe hawana. mwenyekiti akamjibu kuwa Kanuni zilichelewq kufika na awali alitaka bunge liahirishwe kwa dakika kadhaa ili kusubiri kanuni hizo na hatimaye kugawiwa. Ila wabunge wakazomea. Baada ya maneno hayo ya Mwenyekiti, Mkosamali akasimama na kulalamika iweje Mbatia apewe muda wa kuongea na yeye amenyimwa? Ndipo kejeli za maneno zilipoanza wengi wakimuita Mkosamali kwa maneno ya kejeliChabruma nipe update toka hapo mjengoni maana kuna tafrani imezuka ghafla hapo na watu wa tv wamekata sauti ghafla, nisaidie kwa hili ili tupate mtiririko mzuri.
Kikao kimeahirishwa hadi Saa kumi na mbili jioni