Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
ccm hii kitu hawataki kukisikia kabisaKura ya siri ni lazima liwe na lisiwe lazima Kanuni itamke kura ya siri. Duniani kote kura ya siri ndiyo inayotumika hata kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji. Hata Mhe. Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Wahe. Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wasituletee vurugu zisizofaa hata kidogo. KURA YA SIRI NI LAZIMA.