Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Kura ya siri ni lazima liwe na lisiwe lazima Kanuni itamke kura ya siri. Duniani kote kura ya siri ndiyo inayotumika hata kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji. Hata Mhe. Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Wahe. Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wasituletee vurugu zisizofaa hata kidogo. KURA YA SIRI NI LAZIMA.
ccm hii kitu hawataki kukisikia kabisa
 
kwanini usimuite mwenyekiti? naomba ufafanuzi tafadhali

Amepoteza sifa za uenyekiti baada ya kukubali kupokea maelekezo ya uchama hatimaye kuvuruga mwelekeo wa Watanganyika kupata katiba inayotufaa hapo baadae. Kwa maoni yangu, maoni ya lukuvi, mrisho na anne ndiyo yametawala na kuharibu kabisa mchakato ulioanza kua mzuri. Nasisitiza kua haya ni maoni yangu.
 
Kukosekana kwa rasimu ya kanuni za Bunge la Katiba kumemfanya Mwenyekiti wa Bunge hilo Pandu Ameir Kificho kuliahirisha hadi saa 12 jioni hii hv jamani ni kweli mchana ule mpaka saa kumi na moja walishindwa kutowa copy ya hizo rasimu?akiyamungu huu ni mchezo tunachezewa waTZ mweshimiwa rais okoa kodi zetu mapema ni maoni yangu.
 
Mdau mwenzangu, kama nilivyoeleza kuwa Rais hayupo hapa kwa ishu ya katiba bali kwa shughuli za kichama. Hata hivyo kwa vile hoja hii ipo mezani, ni wazi kuwa anaweza kutumia fursa hii kushiriki kutafuta muafaka. Binafsi siamini kuwa Rais JK anaweza kushinikiza msimamo wa chama hasa ikizingatiwa kuwa Rais wetu ni msikivu na anaamini maamuzi ya pamoja na anaheshimu mawazo ya walio wengi.

Hujui unachokisema....Tafakari.
 
Kura ya siri ni lazima liwe na lisiwe lazima Kanuni itamke kura ya siri. Duniani kote kura ya siri ndiyo inayotumika hata kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji. Hata Mhe. Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Wahe. Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wasituletee vurugu zisizofaa hata kidogo. KURA YA SIRI NI LAZIMA.
Mzee Pandu Kificho uvumilivu unaelekea kumshinda. Kama Uenyekiti wa Muda hautaisha Jumatatu atajiuzulu. Tatizo lake ameshakuwa "senile".

Anarudia kuwapa nafasi Wabunge walewale kila mara akina Mbatia, Ole Sendeka, Lukuvi, Oluoch..., bila kuzingatia kuwa mle ndani hakuna aliyeingia na cheo au hadhi chake.
 
Pandu ulishaanza kujenga kajina analia usilikoroge mwisho mwisho mzee
 
kinacho shindikana nn?. Uamuzi utoke na kura ipigwe ya kuamua siri au wazi. utaratibu huo ufuate walivyo patikana wabunge au raisi. Wasitu choshe na kelelezao hasra ngapi wamesha tia.
 
Amepoteza sifa za uenyekiti baada ya kukubali kupokea maelekezo ya uchama hatimaye kuvuruga mwelekeo wa Watanganyika kupata katiba inayotufaa hapo baadae. Kwa maoni yangu, maoni ya lukuvi, mrisho na anne ndiyo yametawala na kuharibu kabisa mchakato ulioanza kua mzuri. Nasisitiza kua haya ni maoni yangu.

Nashukuru sana Mkuu. Nimekuelewa sasa
 
Hapo ndan lazima kieleweke leo, masuala ya kuairisha airisha leo yatakoma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kodi zetu jamani zinaliwa kizembe hivi hakuna mbinu ya kukwepa kodi maana inaniuma wanatumia kodi zetu halafu wanapeleka misimamo ya chama kwenye mambo ya nchi.
 
Jaman kificho mme mpa kaz kubwa sn, mwambien huku c zanzibar, huku ni bara, huku ubabe tu, labda angemuuliza mama kwanza ampe dondoo kidogo jins yy mwnyw anavyotokaga jasho.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
bado dakika takriban 52 tushuhudie tena komedi ya kificho kwa maelekezo ya chama
 
Back
Top Bottom