Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Watoto waliokosa malezi ndivyo mlivyo ngoja tuwaachie wazazi wako waendelee kukulea kwanza ili uwe na akili za kiutu uzima kwanza kwa sasa najua ni mtu wa kuvishwa nepi hata kuvaa hiyo nepi hujajua.
 
Sasa ikifika kujadili katiba hasa muundo wa serikali si watakufa watu?
 
Watoto waliokosa malezi ndivyo mlivyo ngoja tuwaachie wazazi wako waendelee kukulea kwanza ili uwe na akili za kiutu uzima kwanza kwa sasa najua ni mtu wa kuvishwa nepi hata kuvaa hiyo nepi hujajua.

Wewe ndiyo mwenye akili..Mnacheza na pesa zetu bado mnatuona waninga!!

Unajua posho ya kwa wajumbe wote kwa leo ni kiasi gani??

halafu mmeishia kugawa kanuni!!

Kwa **** kama wewe na CCM wenzio iko siku..Mtajuta..
 
Pesa zenu! Wewe unahela gani unayochangia serikali wakati umekwenda kalenga kumwagia watu tindikali na jamaa zako wa bavicha akina mida 8
 
Mkuu, matusi ya nini tena? Au wewe ulitakaje?
Chabruma hivi ni sahihi kabisa hili bunge kwenda kwa style hii?

Mimi nilitaka wasiendelee kupoteza muda..Wameshapoteza siku 20..
 
Last edited by a moderator:
Wazo

Ili kuleta umoja wa kitaifa na

Kwa Kuwa kuna wa TZ hawapati hata buku kwa siku na huku wanalijenga taifa,

Kwa Kuwa uwepo wa posho hauzingatii 'maileji'walio piga kwenye kaz ya katiba,

Na ili kuhakikisha kanuni inapitishwa kesho basi napendekeza kesho KUSIWE NA POSHO ya sitting.
 
HAPANA! HAPANA! Naomba nikuulize. Ni nchi gani ambayo hupiga kura za wazi ktk dunia hii? Korea Kaskazini umesikia inachokifanya? Unapiga kura ya ndiyo au Hapana lakini kama unataka kupiga kura ya hapana, lazima uingie chumba tofauti. Kwa maana nyingine kura zote ni za wazi.

Tukifuata ushauri wako leo, Usiku wana CCM wote wataitwa na kutishwa kwamba lazima kila member wa CCM apige kura ya wazi. Tunajua wanachokitafuta hawa wazembe.
 
Bunge la katiba lita zinduliwa na kuendelea na kujadili rasimu ya katiba mpya huku upiga wa kura ya wazi ama ya siri ukiwekwa pembeni mpaka hapo itakapo fikia katika hatua hizo,ila mjadala wa rasimu kujadiliwa utaendelea kama kawa
 
Pesa zenu! Wewe unahela gani unayochangia serikali wakati umekwenda kalenga kumwagia watu tindikali na jamaa zako wa bavicha akina mida 8

we mkund wazi acha dharau wewe,hapa kila mtu analipa kodi,hizo hela sio za mama ako
 
CCM bana wanahangaika sana . c kila mcmamo unakuwa wa maana jamani
 
kwa nini ccm wanalazimisha kutaka kura ya wazi kuna siri gani hapo kama kweli mna nia njema na hii katiba kumbeni katiba ni mali ya wananchi siyo mali ya chama washenzi na wahuni wakubwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…