Kwakuwa inaonyesha itachukua muda mrefu kupata maridhiano ya kura ya siri au ya wazi basi tufanye hivi kwavile kura zote ni halali siri inakubalika na wazi inakubalika wate wapewe uhuru anaeteka ya wazi apige ya wazi na anaetaka ya siri apige ya siri hivyo napendekeza mifumo yote itumike anaetaka siri apige na anaetaka wazi apige sisi wananchi ndo tutaamua sioni haja ya kuwa na malumbano wakati hakuna mfumo batili yote inakubalika basi uhuru uwepo wa mjumbe kujiamulia atumie njia ipi kadri moyo wake unavyomtuma.