ndo ivo tena bao la kisigino ilo, kama ulimsikiliza lukuvi vizuri leo yan pale no objection tena coz kanuni tayari zinzruhusu kamati ya kudumu ya kanuni ili kushugulika na matatizo ya kanuni na tayari ilo la kura ya wazi au ya siri ni tatizo la kwanza wataanza nalo uku mambo mangine yanaendelea . ndo maana umeona mh mbowe, lisu na mnyika walikua kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yawazi ndio habar ya nchi.za siri wapeleke ufipani
qumamamaee hili li Nchi ukombozi uko mbali sana..Yani nilijua hiki ndiyo kinachofuata..
kwanza wakati wa kugawa kanuni hazikutosha.. Wakati idadi ya wajumbe inajulikana..
Wamepewa bado wanahitaji kuzipitia..
Mbona ni utaratibu ambao uko wazi sana???
hii mipumbavu inamaliza kodi zetu tu..Huwezi kuwaita wasomi wakati wanajadili mambo kijinga jinga..
Hapa hakuna katiba wala nini kwa usenge huu..:thumbdown:
yawazi ndio habar ya nchi.za siri wapeleke ufipani
Kama maccm wanataka kuwa vinara wa demokrasia kama ambavyo huwa wabahubiri majukwani, basi wakubali kura ya siri.Bunge la katiba lita zinduliwa na kuendelea na kujadili rasimu ya katiba mpya huku upiga wa kura ya wazi ama ya siri ukiwekwa pembeni mpaka hapo itakapo fikia katika hatua hizo,ila mjadala wa rasimu kujadiliwa utaendelea kama kawa
Pesa zenu! Wewe unahela gani unayochangia serikali wakati umekwenda kalenga kumwagia watu tindikali na jamaa zako wa bavicha akina mida 8
Umeumia kwenye kufanya fuzo huko kalenga? vipi umetoka damu au umevunjika tu.Mnaofanya fujo ni nyie..Mnatekeleza agizo "unyonge sasa basi"
Mnapiga mpaka viongozi wa Dini !!!!
Iko siku mtalipa haya mabaya yote..
Leo nimeumia sana..π
Mngeacha posho ya leo kidogo ningewaelewa..
Ila mjue kuna watu wanakosa huduma muhimu..
Maji
Umeme
Madawa
Vitanda mahospitalini
Madawati
Magari ya wagonjwa..nk
Posho ya leo tu..ingeweza kupunguza kero moja wapo (siyo kumaliza)
Umesahau kuwa aliyetoa hoja ya kuahilisha bunge alikuwa lipumba ukaungwa mkono na mbowe?Mnaofanya fujo ni nyie..Mnatekeleza agizo "unyonge sasa basi"
Mnapiga mpaka viongozi wa Dini !!!!
Iko siku mtalipa haya mabaya yote..
Leo nimeumia sana..π
Mngeacha posho ya leo kidogo ningewaelewa..
Ila mjue kuna watu wanakosa huduma muhimu..
Maji
Umeme
Madawa
Vitanda mahospitalini
Madawati
Magari ya wagonjwa..nk
Posho ya leo tu..ingeweza kupunguza kero moja wapo (siyo kumaliza)
Mie pamoja na Mkuu Skype tunawashukuru sana wale wote walioshiriki pamoja nasi. Basi tuwatakie kila la kheri na kama kawaida tutaungana hapo kesho. Alamsiki