Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Dalili zinaonyesha leo hakuna cha maana kitakachofanyika, na kuna uwezekano wajumbe wamegoma.
Mkuu, hilo la kugoma sina hakika nalo sana. Pengine ni mazoea tu ya wabunge wetu kuchelewa.
 
Naona pia mwenyekiti anazidi kupokea vimemo na kuvisoma sijui vinatoka kwa nani au wapi
 
Wanabodi,

Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la Katiba anataka kuhairisha kikao kwani akidi haijatimia, wajumbe wengi hadi ilipofika saa kumi kamili viti vingi vilikuwa wazi
 
naam ndugu wana jf naona akidi inakaribia kutimia na punde tu tutaanza kusikiliza/kujionea yatakayojiri bungeni jioni ya leo
 
Naona pia mwenyekiti anazidi kupokea vimemo na kuvisoma sijui vinatoka kwa nani au wapi
Nadhani vinatoka kwa wale wanaotaka bunge lianze sasa na ambao wanasisitiza kuwa akidi imetimia. Pia huenda ni matangazo madogomadogo
 
Wanabodi,

Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la Katiba anataka kuhairisha kikao kwani rasimu haijatimia, wajumbe wengi hadi ilipofika saa kumi kamili viti vingi vilikuwa wazi

Ni bora iwe hivyo kuliko kuburuzwa na mi ccm .
 
Yaani hawa wehu hata kuingia mjengoni wanataka wambembelezwe? Al shabaab hamuwezi kutusaidia pale mjengoni maana hawana umuhimu hawa panya.
 
Namwona mwenyyekiti (samahani kuanzia sasa sitamwita hivyo na badala yake ntamwita kificho) anakaribia kufungua kikao muda si mrefu
 
naam ndugu wana jf naona akidi inakaribia kutimia na punde tu tutaanza kusikiliza/kujionea yatakayojiri bungeni jioni ya leo
Hakika Mkuu. Ila mwenyekiti amesema kuwa atasimama kwa wakati kuafaka kuanza kwa shughuli hii
 
Mbatia anauliza kwa nini kanuni hawajapewa mpaka sasa? na anasema wapate kwanza kanuni
 
Kificho analalamika kuhusu wajumbe kumzomea pindi anapoongea.
 
Back
Top Bottom