Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Bado Mwenyekiti anataka kuhairisha kwa muda, maana wajumbe hawajapata nakala za rasimu
 
Mheshimiwa Mbatia anashauri kuwa wabunge wapewe kwanza kanuni na ndipo wasomewe azimio la kuridhia kanuni. Mwenyekiti anasema kuwa Kanuni zilichelewa na sasa ndo zinaingia hivyo wabunge wanagawiwa sasa
 
Wanabodi,

Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la Katiba anataka kuhairisha kikao kwani rasimu haijatimia, wajumbe wengi hadi ilipofika saa kumi kamili viti vingi vilikuwa wazi

bunge.jpg


malengo hayakuwa katiba .......

katuni-nipashe-bonge-la-katiba-100214.jpg

bunge+la+katiba.jpg
 
  • Thanks
Reactions: prs
Kificho anasema kua pale wajumbe wanapomzomea yeye anachukulia kua wajumbe wamekataa kukubaliana na maamzi atoayo.
 
Kanuni ndiyo zinagawiwa kwa wajumbe, lakini wajumbe ni wachache sana, anasisitiza Mwenyekiti
 
Kificho anasema bado hawezi kufungua kikao hadi kanuni zigawiwe kwa wajumbe na pia wajumbe walio wengi waingie
 
Duuh hawa wajumbe hawa......Kificho amemuomba radhi Mkosamali
 
Hakuna mtoto mdogo zaidi ya ccm..hahaha ili bunge dah.
 
Wakitukanana mimi nafurahi sana nataka sasa wapige ngumi kabisa
 
Kuna mjumbe amelalamika hapa kua yeye kwa nini kanyimwa nafasi ya kuomba mwongozo wakati mwingine karuhusiwa na kujibiwa, mara ghafla anaibuka mwingine anasema "utoto huo", mara mfarakano unaibuka almanusura yaporomoke matusi, yaani jamani leo jioni kutakua na vituko nina hakika.
 
naona matusi yameanza
huyu kubwa jinga mara mtoto mdogo huna adabu mara hakuna mtoto mdogo anaeishinda CCM.Tuendelee sasa
 
Maneno ya kejeli yameanza kutoka kwa wajumbe, mtoto mdogo hana adabu, mwingine kubwa jinga.......na makelele. Mwenyekiti amewaombea msamaha waliotoa hayo maneno.....stay tune
 
Tatizo wabunge wa ccm wanadharau sana ndo maana mm nawaita wahuni na washenzi wakubwa
 
Back
Top Bottom