Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nilivyotangulia kusema lipumba kazunguka weeeeee kisha kasema bunge liahirishwe hadi kesho saa 3 asubuhi
Kificho anarudia majina yaleyale. Lipumba, Mbowe, Vuai, Mbatia,..., anazingatia mno majina maarufu utadhani anapanga timu ya mpira ambayo akina Messi na Ronaldo hawawezi kukosekana!Kama nilivyotangulia kusema lipumba kazunguka weeeeee kisha kasema bunge liahirishwe hadi kesho saa 3 asubuhi
Mkuu, hawa wote wanaoongea ni wajumbe wa Kamati ya Mashauriano. Wanayoongea ndiyo waliyokubaliana. Sitegemei kuona usaliti. Ila wasiwasi wangu ni nini kitajitokeza iwapo itabainika kuwa kuna dosari kwenye hizo Kanuni.Vuai Ali vuai nae anapendekeza yale yale ya mbowe na Lipumba
kuna uwezekano bunge likaarishwa mpaka kesho