Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Bunge la kijinga hili tangu mwenyekiti mpaka wabunge! Ni Ze Komedi hamna lolote la maana. Bora wangeteua walimu ndo wafanye kazi hiyo labda tungepata katiba nzuri.
 
Swala hili nimeonekana kutishia umoja wa bunge la katiba, hasa maana yapo makundi mawili makuu yenye kuvutana kuhusu ama kura ya wazi ama ya siri, nadhani hekima iliyo onekana ni kuachia "Hekima" ya mwenyekiti kuamua aina ipi kutumika kila inapofikia wakati wa kuamulia jambo fulani huenda kwakusoma mazingira na uzito wa jambo lenyewe, kitu ambacho ninakielewa, ingekua vibaya sana kuachia hili kugawa bunge katika hatua hizi za mwanzo namna hii, hataivyo, hii huenda ikawa kama kuhairisha matatizo kwakuwa ninaona mwanya wa shida kutokea mbeleni pale ambapo mwenyekiti wakudumu ata amua juu ya namna ya kupiga kura kwa kufuata matakwa ya chama flani kinyume na vile ambavyo wengi wangetegemea kulingana na hali iliyopo, hivyo kutoa moral right ya upande mwingine wa wabunge ku riot. kwakifupi ninasema ninaelewa mazingira yaliyo pelekea kufikia kutungwa na kupitishwa kwa kanuni hii ila ninasema itategemea sana uthabiti wa "hekima" hiyo ya mwenyekiti wa bunge. lazima atambue nafasi yake na asikubali kuyumbishwa na influence za vyama. comrades, nashukuru

Maamuzi makubwa ya mustakabali wa taifa hayawezi kuachiwa mtu mmoja eti kwa hekima yake!!?? No that is impossible.
 
Simiyu yao ni MBUNGE? Mawazo mgando hivyo? Tuna haki ya kuwapiga risasi wote maccm!
Kumbe ccm ndiko walikojaa wajinga, au ndo elimu ya kivukoni?
 
Simiyu yetu ni mwandishi wa habari yuko bungeni anajitia apa yeye ni mbunge eti naenda kulala dodoma hotel wakati unaoneka vi gest uchwara vya makole
 
kuna usanii, usaliti na unafiki katika huu mchakato
 
hahahahaha yaani ukisoma comment za wadau ni vichekesho yaan ma2c mtndo m1, binafsi nimeshdwa

kuchangia kiukweli........
 
Simiyu yao ni MBUNGE? Mawazo mgando hivyo? Tuna haki ya kuwapiga risasi wote maccm!
Kumbe ccm ndiko walikojaa wajinga, au ndo elimu ya kivukoni?
Mmezoea kuuwa eee! Wangwe atosha hamtaua tena.
 
Simiyu yetu ni mwandishi wa habari yuko bungeni anajitia apa yeye ni mbunge eti naenda kulala dodoma hotel wakati unaoneka vi gest uchwara vya makole
Mkuu unataka kujua nilipo? Karibu sana nipo peke yangu lakini mito ipo miwili karibu sana.
 
Wakuu siku ya leo tutaendelea na bunge la katiba ambapo kazi kubwa iliyosalia ni kusomwa kwa azimio la kupitisha kanuni ambazo tumezijadili karibu wiki tatu sasa.

Baada ya kazi hiyo kukamilika kama mwenyekiti wa mda ataona inafaa tunaweza kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wa kudumu ambapo mzee wa viwango na spidi anatarajiwa kuwa mgombea pekee.

kama mda hautatosha yawezekana uchaguzi ukawa kesho au siku yoyote uongozi utakavyoona inafaa.
 
tutaahirisha bunge tena mpaka jioni ili kamati ya majadiliano imalize. jioni tena tutaahirisha hadi kesho ili ile kamati imalize kanuni. kesho tena tutaahirisha ili kanuni zichapwe za kutosha. tena bunge litaahirishwa hadi siku nyingine ili kuruhusu kupitia rasimu. 300,000/= oyyeeeeeee
 
Wakuu siku ya leo tutaendelea na bunge la katiba ambapo kazi kubwa iliyosalia ni kusomwa kwa azimio la kupitisha kanuni ambazo tumezijadili karibu wiki tatu sasa.

Baada ya kazi hiyo kukamilika kama mwenyekiti wa mda ataona inafaa tunaweza kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wa kudumu ambapo mzee wa viwango na spidi anatarajiwa kuwa mgombea pekee.

kama mda hautatosha yawezekana uchaguzi ukawa kesho au siku yoyote uongozi utakavyoona inafaa.

Asanteee!Ila mpunguze tu UCCM,taifa kwanza chama baadaye!
 
Wakuu naomba kuwa wazi tangu nianze kuhudhuria vikao mbali mbali hiki cha bunge la katiba ni kiboko hata watu wazima tunaowaheshimu kabisa wamekuwa kama watoto du! Hii pasua kichwa any way tutafika kwa namna yoyote ile.

Hatimaye umetokea!!!
 
Back
Top Bottom