chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mgombea Urais kupitia Mwamvuli wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.
Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa siasa za Tanzania na rais mtarajiwa, toka jaana vijana na Wazee mjadala ni ujio wa rais wa awamu ya tano Edward Lowassa.
