Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Weka picha tuona wanamabadiliko wakiwa na rais wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia
Umechanganyamafaili kichwani. Hebu rudiakwa makini kuisoma post. Anayewasalimia wananchi ni Lowassana siyo Kikwete.Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia
Akiona eneo zuri anaweza kupora eneo la watu mzee fisadi balaaa hafai kabisa.
Wakati akiwa kwenye helikopta kuelekea Chato,Lowassa ilibidi avuruge utaratibu kdogo na kuwasalimia raia mamia waliojua kwamba atatumia anga lao akielekea jimbo la Chato,hali hiyo imetokea muda mchache hapa maeneo ya Nyang'ware nje kidogo ya mji wa Geita ambapo kundi kubwa la wazee,vijana na watoto walisimama kwa wingi wao huku wakionesha ishara ya mabadiliko kwa helikopta hiyo iliyokua ikipita juu ambapo mzee alimwamuru rubani ashuke kwa dakika kadhaa ili awasalimie wapiga kura na kisha kuwaidi atapita akitoka chato,mzee tayari ameendelea na safari yake jimboni Chato
mbana nasikia aliye wafanya tembo wawe wachache yupo kwenye chama chenu?
Akiona eneo zuri anaweza kupora eneo la watu mzee fisadi balaaa hafai kabisa.
Hakuna cha nafuu hapo,ni heri kuwa na mafisadi wanaotawaliwa kuliko kuwa na fisadi anayetawala
jiandae kisaikolojia kuongozwa na CCM kwa miaka mingi.
Inafurahisha wameanza kulia kilio cha mbwa yaani UKAWA kwao MACCM ni top of the agendawana chato msifanye makosa yaje kuwagharimu kula ccm kura ukawa lowassa chaguo la watanzania wote