Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Ndo hapo serikali ya ccm ilipotufikisha

Kwa kweli ni kazi sana kiongozi! Yaani unaweza kumkuta huyu jamaa ni graduate lakini hawezi kuandika kiswahili kabisa! Nimeona tena mahali jamaa yangu kaandika "wakimbiye" badala ya wakimbie!
 
Watu wanamaudhi sana hv kwann msisusie kwenda kwny mikutano mijitu hiyohiyo utaiona miiingii kwenye mkutano wa pombe
 
Kwa hali kama hii Ni bora lowasa asimamishe mikutano ya kampeni kuanzia Leo asubiri kuapishwa tu maana kila anapotia mguu anasababisha mafuriko
 
Kwa hali kama hii Ni bora lowasa asimamishe mikutano ya kampeni kuanzia Leo asubiri kuapishwa tu maana kila anapotia mguu anasababisha mafuriko
Hapo sasa unaona eneo hili wanataka wakajazane kuliko wale wa eneo lile yaani umekuwa mchezo wa sisi tunampenda zaidi nipe mahaba ha ha
 
Nawataka wana Chato waende kwa wingi wakaujaze uwanja wa mkutano tena wa madhehebu yoote!Ili kumuonyesha kuwa Chato hakuna ukanda wala udhehebu! Kura kwa Magufuli kwani tunamuamini
"Hapa kazi tu"
melody imebuma kabla hujaimba mumepata aibu chama cha mashetani na kabila la mafisadi CCM
 
Chato ni nyumbani kwa magufuli lakini ni ngome ya UKAWA. Watz wanaompenda magufuli ni wasiomfahamu vizuri huyo "mungu mtu"
 
Ccm lazima washuke daraja ili msimu ujao waje na dira inayoeleweka hatutaki mazoea

Na wakishuka daraja watajipanga vema kushiriki ligi kuu 2025
 
Nawataka wana Chato waende kwa wingi wakaujaze uwanja wa mkutano tena wa madhehebu yoote!Ili kumuonyesha kuwa Chato hakuna ukanda wala udhehebu! Kura kwa Magufuli kwani tunamuamini
"Hapa kazi tu"

mbona unaongea kwa hofu mkuu. Chato ni ngome ya UKAWA.tangu uchaguzi wa serikali ya mitaa. magufuli chato ni mpinzani.
 
Hivi siku hizi shule zinafundishaje Silabi? Maana naona hapa "hanaga, zarau, waogeleye" hivi hiki ni kiswahili kweli?
ndiyo unajifunza kusoma na kuandika vijana wa ccm ni mazuzu siwepoteza muda kukuelewesha maana wewe ni zuzu
 
Back
Top Bottom