PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
View attachment 287549chato wameamua
kuna jamaa 1 aliniambia Mke wake amemwambia lowassa akifika mkoa wake. Anaenda kulala uwanjani, dah huyu mzee ni shiiiiiiiiiiiiiiida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 287549chato wameamua
Nawataka wana Chato waende kwa wingi wakaujaze uwanja wa mkutano tena wa madhehebu yoote!Ili kumuonyesha kuwa Chato hakuna ukanda wala udhehebu! Kura kwa Magufuli kwani tunamuamini
"Hapa kazi tu"
Hao walishamkataa magufuli tangu uchaguzi wa serikali za mitaa hao ni chadema damuMji wa Chato muda huu umesimama. Lowasa hajafika bado yupo uahirombo wilaya ya bukombe anamwaga Sera ila uwanja wa chato hapa umefurika vibaya na mitaani hakutamaniki. Vituko vinavyoshuhudiwa hapa ni pale Shule za hapa mjini walimu walitawanyika tangu saa tano wakionekana viwanjani na pia ofisi za halmashauri milango mingi ilifungwa tangu saa tano huki wafanyakaz wakionekana uwanjani. Chopa ya Lowasa bado haijafika hapa chato ila tayari uwanja umetapika maelfu ya wanachato wamepagawa. Hapa ni kwao na magufuli ila hutaamini kwa wingi huu wa watu. Akina mama ni wengi mno na vijana hawahesabiki. Kwa kweli wanachato wameamua. Lowasa ni taasisi na hakuna namna ya kumsimamiaha tena.
Mji wa Chato muda huu umesimama. Lowasa hajafika bado yupo uahirombo wilaya ya bukombe anamwaga Sera ila uwanja wa chato hapa umefurika vibaya na mitaani hakutamaniki. Vituko vinavyoshuhudiwa hapa ni pale Shule za hapa mjini walimu walitawanyika tangu saa tano wakionekana viwanjani na pia ofisi za halmashauri milango mingi ilifungwa tangu saa tano huki wafanyakaz wakionekana uwanjani. Chopa ya Lowasa bado haijafika hapa chato ila tayari uwanja umetapika maelfu ya wanachato wamepagawa. Hapa ni kwao na magufuli ila hutaamini kwa wingi huu wa watu. Akina mama ni wengi mno na vijana hawahesabiki. Kwa kweli wanachato wameamua. Lowasa ni taasisi na hakuna namna ya kumsimamiaha tena.
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM
Yaani nchi tumkabidhi fisadi!!hapana haiwezekani
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM
Magufuli ni king'amuzi,JK ndio rimoti,Magufuli ni kufuli na Lowassa ni funguo.