Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Yes nimeongea na jamaa yangu ambaye maskani yake ni Chato kanitaarifu tangu saa 6 mchana mji wa Chato ni shamrashamra na mpaka muda huu 9:44nLowasa bado hajaingia Chato mjini.

Watu wamehamasika sana na mabadiriko ila mtonyaji kaniambia kuteuliwa kwa Magufuli kuwa mgombea kumepungaza sana kura za CHADEMA huko Chato otherwise Peoplessss wapo wengi sana huko.
 
Hii tabia ya kuruhusu magamba yaanzishe uzi wetu inatakiwa ishugulikiwe.hii ni makusudi sasa.
 
Mgombea Urais wa Chadewma kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.

Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa siasa za Tanzania na rais mtarajiwa, toka jaana vijana na Wazee mjadala ni ujio wa rais wa awamu ya tano Edward Lowassa.
Mwaka wa njaa huu na vijana kwenye mitandao mnajitahidi kutuaminsha hata pasipo amini tusubiri 25 Oct
 
Kwa hali kama hii Ni bora lowasa asimamishe mikutano ya kampeni kuanzia Leo asubiri kuapishwa tu maana kila anapotia mguu anasababisha mafuriko

CCM walisema watayazuia mafuriko kwa kidole. Vp huko chato leo?
 
Tumishawazoea Ukawa mna maneno mengiiiiiiiiiiii..... picha hakuna ile ya mafuriko ya moro mkatuwekea picha za jangwani Full propaganda. Mpitisheni babu akapumzike. Akija mwenyewe ndo mtaisoma. ''HAPA KAZI TU''
 
uploadfromtaptalk1442408935769.jpgchato wameamua
 
Mji wa Chato muda huu umesimama. Lowasa hajafika bado yupo Ushirombo wilaya ya Bukombe anamwaga Sera ila uwanja wa chato hapa umefurika vibaya na mitaani hakutamaniki. Vituko vinavyoshuhudiwa hapa ni pale Shule za hapa mjini walimu walitawanyika tangu saa tano asubuhi wakionekana viwanjani na pia ofisi za halmashauri milango mingi ilifungwa tangu saa tano huki wafanyakaz wakionekana uwanjani. Chopa ya Lowasa bado haijafika hapa chato ila tayari uwanja umetapika maelfu ya wanachato wamepagawa. Hapa ni kwao na magufuli ila hutaamini kwa wingi huu wa watu. Akina mama ni wengi mno na vijana hawahesabiki. Kwa kweli wanachato wameamua. Lowasa ni taasisi na hakuna namna ya kumsimamiaha tena. Kinachoendelea sasa hivi ni vikundi vya ngonjera na mashairi waliyoandaa wanachato na burudani za utamaduni wa kisukuma. Uwanja hauna nafasi tena hadi muda huu. Laigwanan Lowasa hajatau bado ila muda wowote kuanzia sasa hapa chato. Naambiwa amesamaliza mkutano wa Ushirombo na dakika chache atapanda chopa yake ya kisasa kabisa.. January Leo mchana amewapa moyo wanaCCM kuwa wamefanya tathmini et watashinda kwa asilimia 66. Asilimia hizo zilimshinda JK 2010 kwa upepo wa kisiasa na mwamko wa wakati ule. He kwa mwamko wa raia wa wakati huu jumlisha TORABORA na ABBOTABAD za Lowasa hataambulia chochote. January waambie ukweli wanaCCM usiwafiche... LEO LOWASSA AMEDHIHIRISHA WAZI KUWA YEYE NI HEAVYWEIGHT NA MAGUFULI SI SIZE YAKE KABISA.
 

Attachments

  • 1442408960957.jpg
    1442408960957.jpg
    30.8 KB · Views: 2,397
  • 1442408973623.jpg
    1442408973623.jpg
    19.6 KB · Views: 843
Mji wa Chato muda huu umesimama. Lowasa hajafika bado yupo uahirombo wilaya ya bukombe anamwaga Sera ila uwanja wa chato hapa umefurika vibaya na mitaani hakutamaniki. Vituko vinavyoshuhudiwa hapa ni pale Shule za hapa mjini walimu walitawanyika tangu saa tano wakionekana viwanjani na pia ofisi za halmashauri milango mingi ilifungwa tangu saa tano huki wafanyakaz wakionekana uwanjani. Chopa ya Lowasa bado haijafika hapa chato ila tayari uwanja umetapika maelfu ya wanachato wamepagawa. Hapa ni kwao na magufuli ila hutaamini kwa wingi huu wa watu. Akina mama ni wengi mno na vijana hawahesabiki. Kwa kweli wanachato wameamua. Lowasa ni taasisi na hakuna namna ya kumsimamiaha tena.

Lowasa,Anaweza sana,tena,ni mtu anayedhubutu,Kuna usemi unasema Ng’ombe hajui umuhimu wa mkia mpaka uukate.Tangu mheshimiwa huyu aondolewe kimizengwe katika uwaziri mkuu na kuondolewa kwenye kinyang’anyiro cha uraisi…..Tumeona ufa mkubwa sana na kukosekana kwake kumeonekana wazi.Kuna Ombwe la wazi hasa kwa Nafasi ya Uraisi, .Gombea Mheshimiwa Mungu amekuweka juu ya watu na utashinda kwa kishindo…. huu umati uliokata tamaa unao kufuata ni ISHARA tosha...Mwenye masikio naasikie….
 
Back
Top Bottom