Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiandae kisaikolojia kuongozwa na CCM kwa miaka mingi.
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia
Mgombea Urais wa Chadewma kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.
Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa siasa za Tanzania na rais mtarajiwa, toka jaana vijana na Wazee mjadala ni ujio wa rais wa awamu ya tano Edward Lowassa.
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia
Wapiga Kula? Au Kura? Alipanda ndege au chopa?
Jipange ulete habari ya kueleweka
Hanaga zarau kama yule aliyewambiwa watu wa kigamboni waogeleye!
Hahahaha.mbana nasikia aliye wafanya tembo wawe wachache yupo kwenye chama chenu?
Yaani nchi tumkabidhi fisadi!!hapana haiwezekani
Nilipita hapo Geita jana mtaa wa soko kuu niliona watu wengi sana wamezingira bango la UKAWA lililokuwa limeandikwa LOWASA TUSAIDIE SISI WACHIMBAJI WADOGOWADOGO. Kwa sasa niko hapa Chato rais anatarajiwa mchana lakini mji umeshazizima. Nimelala Geita pia kulikuwa na mkesha wa Lowasa uwanja wa MAGEREZA.
Jamani mbona morogoro hajamaliza amma anaogopa kuzima ghafla maana uroboti hausomeki.
Watu wa chato hawana ubaguzi kama wale wa kiskazini. Watampokea na kumskiliza. Watu hawa si wale wanabaguana hata huko kwao jijini arusha kwa kuitana Arusha Asili na Arushamoshi. Hii tabia ya watu wa chato inanipa Tumaini kuwa Magufuli atawatumikia watanzania wote bila kuwabagua.
Hivi siku hizi shule zinafundishaje Silabi? Maana naona hapa "hanaga, zarau, waogeleye" hivi hiki ni kiswahili kweli?
hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NA KINA WEMA?????
MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.
LOWASSA ni habari nyingine.
Akiona eneo zuri anaweza kupora eneo la watu mzee fisadi balaaa hafai kabisa.